Duration 56:50

KIPYENGA CHA MWISHO : Matukio tata mechi za robo fainali ASFC ikiwemo Yanga vs Kagera

73 006 watched
0
347
Published 2 Jul 2020

Osman Kazi na Ahmed Ally wanachambua na kumaliza utata kwenye matukio yote yaliyojitokeza na kuwa gumzo kwenye mechi za Yanga vs Kagera Sugar, Simba vs Azam, Namungo vs Alliance na Sahare All Stars vs Ndanda SC. . . Pia zimo mechi za VPL kama vile Yanga vs Ndanda na Prisons vs Simba. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 41