Duration 2:20

CCM WAONGOZA MKUTANO WA VYAMA 6 WANACHAMA/MAKUBALIANO YAFIKIWA.

63 watched
0
0
Published 10 Nov 2021

JUMLA ya vyama sita vya kisiasa kutoka nchi 6 na chama kimoja kutoka nchini china CPC vimefanya mkutano kwa njia ya mtandao kwaajili ya maadalizi ya ufunguzi wa chuo cha mwalimu Nyerere baada ya kukamilika ,ujenzi ambao umeanza tangu Mwaka 2018.

Category

Show more

Comments - 0