VUNJA MBAVU NA DKT. SHIKA: Ni moja kati ya vipindi vilivyofanyika mbashara kutoka Mlimani City Dar es Salaam siku ya kuufunga mwaka 2017. Dkt. Louis Shika kama mmoja wa watu waliopata umaarufu katika mwaka huo, naye alikuwepo.
Tazama Mahojiano yake mwanzo hadi mwisho
@godfrey39266 years agoWhy is everyone so negative here about this interview, you should all be ashamed ofis fun or comic or whatever you want to call it and i think it' s a greatdid it very well and dr. Shika was right on point astrue comedian. ...Expand3
@
@othumansuleiman63726 years agoKuna maswali mhim mnameshimdwa kuuliza mnauliza ujinga tu! Kawaambia alikua balozi office ilikua kenya eti imejamia marekani, swali lini na kwa nn hajawahi. ...Expand1
@
@happinesskaali47504 years agoTatizo hawa madada wanadhani wanaongea na chizi kwaiyo wanataka kuchekesha tu, ila dr. Shika nitofaut na wengi tunavodhania, i like him honestly. 1
@
@josephkasika67554 years agoJamani huyu mzee yupo sawa hali alionayo ni kutokana na background za urusi, kwa anaye fahamu watu wanaokwenda urusi kusoma hasa science and engineering. ...Expand
@
@amonamos82784 years agoHawa wanauliza maswali kwa lengo la kutaka kujua kama yuko timamu kiakili au la. acha wafanye kazi yao maana wanapima kama iq yake iko sawa. 1
@
@maximillankitomary31436 years agoAaaagh! Watangazaji mmezingua sana, mme base kwenye maswali ya familia yake wakat mzee anavitu vingi vyaundani vya kumuuliza. Acheni kuiangusha azam tv bhana. 1
@
@memehhhahshshdhdhd6 years agoWatangazaji hamjui kuhoji, mngeandaa maswali kabla. Yani hamjaandaa mtiririko mzuri waissue zingine hlf katikati mnaomba historia yake. 3
@
@sciencearusha59516 years agoAjira yenu inapaswa kuwa hatarini kabisa hamjui kazi yenu na huyo mzee mbababaishaji tuu. 1
@
@severinemabirika22495 years agoYani. Professionalism haipo kabisa hapo. Maswali hafifu, mpangilio sifuri.
@
@herbertpeter78806 years agoAzam media ni moja ya vituo vya habari ninavyoviamini kwelikweli, ila kwa hawa watangazaji, hapa hakuna watangazaji aise, ujue mzee shika ni mtu mzima. ...Expand7
@
@Dakingyasta6 years agoHawa watangazaji wana uwezo mdogo sana wa kuhoji mada za msingi. 2
@
@shafiimkeremi78196 years agoTatizo shule nmegundua kwa hawa wa dada, tuwape pole zao.
@
@musisahumbi22486 years agoMnapwaya kwenye maswali hamjipangi mnauliza uliza tu. 7
@
@edmondjr176 years agoSwali moja mnalirudia mara mbili amjuwi ata kdg kbs. 5
@
@mgykaboza56016 years agoDoctor shishika shavu dodo haya maswali kila siku nihaya haya? Shika kiukweli toa ajila kwa vijana maana huna kipya unachoulizwa kipya tofauti na kampuni yako unaishije unavaaje unaela kiasi gani bosi wako nani. 4
@
@idrisaabdulhakam72085 years agoDah. Haya maswali ise not professional kabisa. Huu ni upuuzi jaman dah.
@
@angellomarcel56776 years agoNaenda kufanya kazidunia. keep in touch. iko siku tutaelewa. Tu jeshi alafu mchoma mkaa. 1
@
@keizageruman63616 years agoWee vp! Kwan meno ndio alama ya mtu mwenye pesa. Allaa! 2
@
@maxmillianmocash14695 years agoNaomba kujua, ivi azam ao watangazi kabla ya kuwapa ajira mliwafanyia interview?
@
@moziidavchonchi33386 years agoAcheni upuuzi kusoma amjui hata picha izo mbanga za kichoko banaa. 1
@
@abdubabu54546 years agoSasa mbona ulikaa sehem mbaya sana huko tabata kweli we mzee mh! 1
@
@sciencearusha59516 years agoNinyi wanawake mbona mnahoji kama kasuku? Hivi mmesomea hiyo taaluma kweli. 1
@
@saitotisaitoti67346 years agoKwa hiyo nyie ndo mmetumwa na Azamtv kufanya kipindi maalum na maswali mepesi hivo utasema mtoto wa std seven anahoji mmekurupuka bila kujiandaa? Au mmekutana na Dr.shika bahati mbaya mkamdaka na kufanya kipindi? Yani hamjui kuhoji kiukweli.mmeizalilisha kampuni.hiko sio kipindi maalum kwa vijiswali hvo visivo na mpangilio khaa .....Expand7
@
@lakisipesa71636 years agoMulio sikia ni audio hii nivideo kuweni na tasmini watu wengine nyinyi.
@
@stevenwawafishboy6 years agoMngemhoji kuhusu balozi aliyekataa kusaini ila nyie mmemrukisha mada, ameanza vizur kuweka mambo hadharani ila nyie mnahoji vitu ambavyo tushavifahamu kama uko pamoja na mm like account yangu. ...Expand4
@
@Rafikiboniface6 years agoDr. Shika tunakuzubiri ulaya sisi tuna kula bata. 1
@
@Joseph20102016 years agoAisee mnaiaibisha azam tv. Mtu makini kama huyo haitaji waandishi wenye mawazo mafupi kiasi hicho. 1
@
@saidasimba99796 years agoSwali la kuuliza moja wapo lilikua aoneshe wapi kunasema yeye in balozi na amepandishwa cheo. No rahis tu kujua huyo in muongo au mkweli. Wewe mtu anateuliwa. ...Expand
@
@othumansuleiman63726 years agoNyie mademu niwasenge kweli, km ningekua boss wenu mngemaliza kipindi na kuunganisha kwenu kz hamna.
@
@ikulutv6224 years agoHaya matangazaji, vitangazaji au ni watangazaji waliosomea? Mbn wanatia kichefuchefu kbs! Mzee ana nondo za kutosha lkn hojaji hamn kbs.
@
@shadrackmnjelu52856 years agoYan hujafanya kaz halaf ukapandishwa cheo na hi ya ubaloz imeanza lini. 1
@
@thefuture29556 years agoHivi kweli tupo serious. Kuna matatizo mengi huko vijijini hbr zao hasikiki huyu jamaa anazingua .
@
@olemollel55655 years agoWatangazaji vipi hawa tudisha shule jamaa.
@
@jacksonmathayo65105 years agoWatangazaji hovyo kabisaa maswali yakipumbavu tuu mfyuu. 1
@
@reenycolor20856 years agoShule muhimu hawa madada ni mabogus, hakuna kitu hapo waandishi gani wanahoji maswali ya kipumbavu mfyuu.
@joycemashikolo90966 years agoUrusi! Urusi! Urusi! Kunani hapo lakini. Wote waliosemea urusi akiri zao zote km doctor shika tu.
@
@officialkamdudu4 years agoTuvute subira ma_hela yaningia leo ni tarehe 30/01/2020 bado tuvute subira.
@
@loner_wolf6 years agoHawa watangazaji fake. Hawajui kuhoji mtu vzuri. Inakuwa kama mtu na wajukuu zake.
@
@jumaramadhani58616 years agoHii sheria ya watangazaji kuwa na degree ina umuhimu sana hapa nchini. 2
@
@samsonkusupa81156 years agoPumbavu wote nyny watangazaji low iq mkakojoe mkalale. 2
@
@godfreykisuka13596 years agoStupid have no limit and ginius has limit madada nendeni shule. 3
@
@pascleshayo97405 years agoNyie wadada washamba mnakera maswali ya kipuuzi.
@
@neemakilomoni42586 years agoRudini shule mkasomee hiyo kazi sio mnakurupuka tu hajui jinsi ya kuuliza maswali shika ana wazidi akila, 1
@
@barikichichimu35026 years agoHawa watangazaji hawajui kumhojina taalum yenu. 1
@
@musisahumbi22486 years agoYaan wako wawili na dr kawapoteza chaka. 5
@
@edlumala94286 years agoHuyu mzee ananikera kweli! Ye mjinga na anafanya watu wote wajinga! Hata pesa ya kula hana, anakwambia kaajiriwa na un! Hata meno hana bwege. 3
@
@claverynyanda74096 years agoNyie madada hata hamjui kabisa kuhoji. Malaya nyie. 5
@
@afropanorama47306 years agoHuyu mzee anatufanya sisi sote mapimbi. 1
@
@valentinamussa42126 years agoHawa watangazaji tatizo wananyege sio kwa kujichekesha huko na kuuliza maswari vishawishi maybe wanaitaji sponser.
@
@pasquallungwa35176 years agoHawa dizaini wanajifunza kuhoji mtu na huyo mzee kawaheshimu tu ila kwakweli hawana taaluma hiyo.
@
@shafiimkeremi78196 years agoNyie wadada hamjaitendea haki taaluma yenu. 2
@
@mahmadougronkjaer83166 years agoNyie wadada mngejiandaa kwa maswali before kumuita shika. Huyo jamaa sio level yenu. Ona tuswali mnavo muuliza. Yan km millard ayo na victor wanyama. 5
Related videos for Azam TV - MAHOJIANO MAALUM (): Dkt. Shika, afunguka A-Z kuhusu maisha yake ya 'kiki':
acha wafanye kazi yao maana wanapima kama iq yake iko sawa. 1
keep in touch.
iko siku tutaelewa. Tu
jeshi alafu mchoma mkaa. 1