Duration 8:10

Watu Watano Waliozaliwa Na Uwezo Wa Ajabu.

by YIB
50 640 watched
0
908
Published 9 Dec 2020

Category

Show more

Comments - 31
  • @
    @nancyazania6323 years ago Mimi nampenda huyo mdada anae toa machozi ya mawe. Naomba yib unisaidie namba zake za cm please. 1
  • @
    @thomasdonald66044 years ago Mmmh jaman wangapi mnauona ungo like hapa. 2
  • @
    @josaphatlukwaro23784 years ago Inawezekana n kweli mana watu kama hawa hua mazezeta zezeta tu ukiwaona ila n noma. 1
  • @
    @freddyntafumila92614 years ago Yib nawapenda sana ila kwa uongo tuu nawaaminia. 1
  • @
    @user-ot2io4cy6w4 years ago Hapo kwenye kumaliza kusoma page mbili za kitabu kwa sec. 1 hapo so poa mzee baba. 2
  • @
    @user-ot2io4cy6w4 years ago Huyo aliyekomaa huyo atakuwa anatumia mazingaombwe bhana yan haiwezakani hadi drill mashine isimtoboe aah.
  • @
    @severinaseverinanyoni7073 years ago Huyu w umeme sio wa mchezo answerable kukukausha dk tuu.
  • @
    @highthemetv78574 years ago Mwenye hii chanel nimekusearch insta siwapati nahitaj tufanye kazi. 1
  • @
    @franksanke64114 years ago Hi dunia inawatu waongo sijawai kuona kichwa kinawasha taa ya umeme. 1