@asiaissa9763 years agoSafi sana baba wa taifa letu tanzania hongera sana kwakweli mungu azidi kukusimamiya na akuonyeshe njia ilionyooka ili ukale bata huko peponi.
@
@hamedabashir93 years agoMunaonaje wanazengo wezangu rais wetyu muda maana hatuoni mwingine kabsa ama kwer tumepata rais wetyu jpm plz tyumuongeze muda rais muzalendo. 1
@
@amraniramadhani74123 years agoHata huku mwanza lumala secondary school, wanafunzi wanakaa chini.
@
@salummachaku32183 years agoSiohuko tuu hata goba mpakani shule ya tegeta(a) wanafunzi wanakaa chini na majengo mengine krek kubwa sana.
@
@asiaissa9763 years agoRais wa tanzania sikufundishi kazi ila nskukumbusha kule zanzibar ukusimamiye kiwanda cha viatu kifufuliwe ili vijana wapate ajira baba.
@
@benjaminmiselya26223 years agoSafi tanzania hapagiwi wala kubabaishwa. Hongera raisi wangu.
Related videos for LIVE: RAIS MAGUFULI Awawashia MOTO Viongozi DSM - OLE WENU NIKIJA, NIKUTE WANAKAA CHINI: