Duration 34:11

SIMBA SC 3-1 NKANA FC; FULL HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (CAF CL - )

3 475 565 watched
0
7.9 K
Published 23 Dec 2018

Simba SC imefuzu kuingia hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kuichapa Nkana FC magoli 3-1 katika mchezo wa maruadiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Matokeo hayo yameifanya Simba ifuzu hatua hiyo kwa jumla ya mabao 4-3 kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Zambia wiki moja iliyopita. Katika mchezo wa leo Nkana ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 17 kupitia kwa Walter Bwalya akimalizia kwa mpira ambao mabeki wa Simba waliuzembea kwa kufanya mchezo wa kuotea. Simba walitulia na kupata bao la kusawazisha kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 29, kabla ya Meddie Kagere kupachika bao la pili kwa kichwa dakika ya 45 na baadaye dakika ya 88, Clatous Chama kuipa Simba bao la ushindi. Baada ya kuaga mashindano haya, sasa Nkana FC wanakwenda kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambapo watalazimika kupitia hatua ya mchujo ili kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika.

Category

Show more

Comments - 1024
  • @
    @ayoubfadhili46955 years ago This battle was like war of seven manusia, i love simba from india. 15
  • @
    @adammasanja19843 months ago Unforgettable match the best emotion, feeling 4 simba fans, love m best african giants ssc mnyama.
  • @
    @dicksonaroka69615 years ago Ni wangapi bado wanakuja hapa kujikumbushia jinsi nkana fc walivyo kufa kwa mkapa december 23like kama tupo. 26
  • @
    @mohamedidd31453 years ago What a historical and unforgettable match for simba fans, simba nguvu moja. 24
  • @
    @sm5tv4 years ago Bado naiangalia mpaka 2020
    kama na ww upo gonga like hapa.
    56
  • @
    @emmanmwakuka49385 years ago Hii clip inanimalizia mb zangu maana si chokagi kuiangalia gonga like kama tupo pamoja wanasimba or Die 135
  • @
    @hatibukimbondile13924 years ago Simba is the football' s icon. In tz. 16
  • @
    @wisekingtony63706 years ago Sema..simbaaaaaa alafu like. stage ni motooo 53
  • @
    @user-up8mj7mw2t6 years ago chama kwani ndo chama la SIMBA mm sielew jmn like kwa SIMBA # 221
  • @
    @agnessjohn84046 years ago nakukubali Sana unatangaza vizuri Sana mpaka nashindwa kuelewa wewe ni shabiki wa timu gani huna ubaguzi mungu akubariki Sana Love u 71
  • @
    @juliuskened45714 years ago Kama umeangalia highlights hii 2020 gonga like za kutosha. 168
  • @
    @paulsengelemasengelema89504 years ago Kama upo unaitazama hii mwaka 2020 gonga like twenzetu. 33
  • @
    @halkhaji42886 years ago Marhaba buuu chama hii ndo simbaa usipite bila kulike. 117
  • @
    @vicentmbise2453 years ago Gonga like kama 2021 umeichekii, simba forever. 14
  • @
    @tulivu63776 years ago Kama unaipenda simba ngoga like
    twende sawa.
    150
  • @
    @asha_homedecorations6 years ago Mnyama simbaa on mtangazaji ni nomaaa. 81
  • @
    @agnessjohn84046 years ago Vyura wanateseka asante mungu kwa ushindi huu mnono. 48
  • @
    @halkhaji42886 years ago Simba rahaa msikereke kwa shughuli isiokua yenu kamanawe unaipenda simba like. 31
  • @
    @maulakaroli83234 years ago Kama unangalia mechi hii kwa hisia kali huku ukiifikiria game ya platnam kwa mkapa hapa january 6 gonga like twende na simba yetu. 17
  • @
    @amedeuslyimo23156 years ago Pia kwa nidhamu hii ya mchezo wa simba tutafika mbali sana kilaa la heri timu yangu simba sc inshallah. 24
  • @
    @stewardmwanuke52686 years ago Hongeleni wachezaji wangu wa simba kwakunipa raha japo tunamajonzi ya mwanachana mwenzetu alie fariki inauma mungu ailaze roho yake mahara pema peponiy ameen. 30
  • @
    @mwenyasamhando82622 years ago Mechi ya maisha yangu, mechi ya historia ya kuishabikia simba na mechi bora kwa upande wangu katika klabu ya simba. Simba nguvu moja. 14
  • @
    @sekeyifabian95176 years ago Waambieni wasije kichwa. This is simba. 34
  • @
    @raiphodytzkaundatz62446 years ago Mtangaz mungu anakuona ety marahaba chama
    ety magool kama haya yanalusiwa kweri.
    75
  • @
    @popperkuch6696 years ago Hakika kk haji manara upo vzr hongera zako
    hongera kwa timu yetu nzm.
    8
  • @
    @muddydamdeok50986 years ago This is simba brother the great team of tanzania. 15
  • @
    @abdallahhassani18935 years ago Kama unaipenda simba gonga like zakutosha. 75
  • @
    @kingayo9996 years ago Simba akiona jini anazidi kunyanyua manyoa na kuwa mkali zaid this is simba kaka. 51
  • @
    @ibrahimjuma83496 years ago Yaan we chama wewe c wa africa bwana unadanganya hujatokea uraya kwer! Yan wa kwanza kukoment jaman like zang bas! 40
  • @
    @ferouzmasoud47413 years ago Asante sanaa chama langu la simba mw/mungu awajalie afya njema wachezaji wote. 3
  • @
    @thomasnyarusanda26086 years ago Will done simba, bravo great simba. Nkana wamepata taabu sana. Nana hamuwezi kukaa jedi za simba mlizopatia ushindi kwenu mje kupata ushindi kwetu, mwiko. Simba heshima. 16
  • @
    @prosperndonjekwa51436 years ago Kazeni buti katika ligi. Mtakamiwa sana. Kila time inataka kuwafungeni ili isemme nimeifunga time kubwa. 46
  • @
    @user-bi1pv8gp4v6 years ago Baraka mbenja we ni next level thnx simba for simba for this. 9
  • @
    @fredrickmangera95206 years ago Tripo c utawaua hao, kila goli umehusika. Congrats boe. 9
  • @
    @djstone255tz6 years ago Asante simba kwa zawadi ya funga mwaka. 23
  • @
    @ferouzmasoud48702 years ago Sichoki kuludia kutazama game hii simba sc raha sana. 2
  • @
    @amedeuslyimo23156 years ago Kuna watu wanaumia sana .. This is simba blaaza. Usipoikubali mbele ya kadamnasi lazima uikubali kimoyomoyo.. hongereni sana chama kangu kwa kutinga hatua ya makundi .. ...Expand 7
  • @
    @barakajulius59385 years ago Baraka mpenja wewe nikabsa na mwili wako na jinsimno bro. 8
  • @
    @officialamirionaire37313 years ago Naiangalia leo baada ya simba kuifunga fc platinum ya zimbabwe na kufuzu kutinga atua ya makundi. 7
  • @
    @davidmchome9496 years ago Goli la chama litakufanya usahau shida zote za 2018.
    r. I. P christopher alex massawe.
    143
  • @
    @beghaezra2965 years ago Huwa siwezi kuisahau hii game daa simba ni hatari fire. 2
  • @
    @magdalenapeter48516 months ago Nakaaga nikimisi kuona maajabu ya mnyama narudia mechi kama hiz aisehii timu.
  • @
    @wabumbuli25816 years ago Kama umemuona mkude akishika nywele kama wachezaji wa nkana gonga like yak hapa. 86
  • @
    @mamohamed59145 years ago Wazungu wana sema this is simba brother i love this matche coz it' s nice game. 3
  • @
    @yorrammabugas58566 years ago Ooooh yeess, kuna watu wanateseka, cjajua hapo mpenja alikuw anawaongelea wat gan, jmn naomb mnisaidie. 25
  • @
    @agnessjohn84046 years ago Siamini kama kweli wewe mtangazaji huna timu unayoishabikia hapa tz au na wewe ni mmoja wa wale wanaoteseka nakupenda sana mtangazaji kwasababu sijaj id="hidden9"ua timu yako ni ipi maana kila anae funga unasifia kweli huo ndo utangazaji big up kwako simpendi kitenge. ...Expand 150
  • @
    @samwelhojatuba13143 years ago Kweli simba inanikumbusha mbali sana naomba waendelee kutufurahisha zamani kila siku nikiangaliaga hii mechi nasema simba no bora sana africa. 5
  • @
    @dismashaule16316 years ago Ivi macho yako yanaona kama mm simba raha sana. 9
  • @
    @mohammediallykaboza58625 years ago Mo, kocha benchi la ufundi na wadau wengine bila kujisahau kama tim mashabiki mungu asiyuingizie mgogororo acha wateseke zam yao moto haupoi respect simba. 1
  • @
    @hemedbacco47192 years ago Simba nguvu moja. Still watching in 2022. 2
  • @
    @sonjon74832 years ago Tuliopoo hapa mwezi wa nane 2022 tujuanee kwa likee, wanalia polee e asantee sana mpenjaa.
  • @
    @adilcosmaslast year Mechi ilioweka historia ndani ya club ya simba. 1
  • @
    @peterbandah55605 years ago Yan hizi highlights kila nikirudia kuangalia huwa nashangilia kwa mzuka kama naangalia live vile. Pole kwais simba brothers and sisters. 11
  • @
    @paulokiruwa98793 years ago Baraka mpenja uliitendea kazi mechi hii kwa utangazaji wako big up. 2
  • @
    @shenymohamed33136 years ago Simba hata wakitaka ubngwa afrika wanaweza! Ni kujitoa tu kwa moyo. 116
  • @
    @amanioroma88063 years ago Leo tarehe 25 oktoba, 2021 tunacheza na galaxy imenifanya nirudi hapa kuangalia hii match. 3
  • @
    @Ram_18933 years ago Kuna mtu aliniambia kuwa kuna shabiki alimwambia Mkude Pigaaa
    Leo nimesikia vyema hiyo sauti
    MOJA#
    3
  • @
    @africangorillalast year Kaka unaangalia hii mwaka 2023 piga like wana simbaa hata haturingi.
  • @
    @zamzamrashid95346 years ago Mabilionea yetuuwanjawetu ili nass tuzidi kuwa timu bora imarahongera simba hongereni mashabiki wanachama nawafuwasi wasimba tuwepamoja kwakila namna big up simbaaa. 3
  • @
    @omarmussa23252 years ago Dah mechi hii naikumbuka sana ilikuwa baada mda mrefu simba ikatinga tena hatua ya makundi chama atakuwa katika mioyo ya simba daima. 1
  • @
    @ammarhedeb24646 years ago Naitwa omary rashidi kutoka tanga chama utafungwa wewe magoli gani hayo like hopo bs. 77
  • @
    @elizabethmkali57826 years ago Baraka mpenja unajuwa kutangaza mpira mungu akupe nguvu. 2
  • @
    @hamisirashidi35186 years ago Yaan huyo kes kabla yampila alkua aaiponda simba leo baada yakidundo anaikubali kwel nmeamin anayekucheka leo kesho atakuheshimu big up simba kuna aliye onewa. 15
  • @
    @dgt63036 years ago Hii simba nmeielewa. Lakin zaidi leo nmeona mashabiki kama ulaya. Sapoti ya mashabiki haikuwa ya kitoto. 15
  • @
    @mariapialakanje34463 years ago Dah safi simba mkude asante sana kwa goli zuri. 1
  • @
    @taysonibrahimmnyambugu86406 years ago Mamb ni fire je kunamutu anaumia km yup ajifanye km anajikuna. 32
  • @
    @teklamahenge52126 years ago Kwa mara ya kwanza kumuona mcheza mieleka patrick anashangilia. 150
  • @
    @thomasshaila59904 years ago Nikiwa na umwa na huzuni huangaliwa mumechi huu wakati nalia na kupona kabisa. Simba nguvu moja this iz simba. Dawa ya corona. 20/04/2020. 6
  • @
    @annastaziaandrea9789last year Wakwanza mm kuendelea kutizama na kukumbuka ukubwa wa time yangu mungu ibariki simba mwaka 2023 tuwe na mwendelezo mwema, time yet ifike marina. 1
  • @
    @kelvinbadili22233 years ago Hii game ilikuwa bora sana na mpaka xaxa. 2
  • @
    @wabumbuli25816 years ago Kama unamkubal chama like muhmu tusonge kwenye makundi. 360
  • @
    @amehassanrehanirehani50612 years ago Ah ilikua raha simba raha hii mechi tam san haitoshi na imepat mtangazaj mechi inasisimua i love you simba sc.
  • @
    @khadijahali48374 years ago Jamani wale tunaoangalia 2020 kipindi hk cha corona tujuane 7
  • @
    @ibrahimmfundo84556 years ago Mashabiki haonkana wamekuwa kama machoko. 32
  • @
    @OmanOman-hr6cb6 years ago Simba nakufa simba konk uwiii wanateseka uku mama weee. 5
  • @
    @elizabethjohn45496 years ago Simba hii jaman ni shidaa hadi mtangazaji wa tbc kasahau kurudisha matangazo studio. 7