Majambazi walioua Polisi zaidi ya kumi sasa tutawashughulikia kikamilifu na hakuna atakae baki Wananchi mtuwie radhi katika hili mtaona sura halisi ya jeshi la polisi akiongea kwa hisia kali Msato Marijani Mssanzya - PC (Kamishna wa Operesheni na Mafunzo)
@simbasalumu53947 years agoTukumbuke hakuna anaependa mwenzake apate shida au matatizo, pia hawa askari wetu waliopatwa na matatizo wana ndgu na familia na watoto ambao wanawategemea,. ...Expand1
@
@kissakabuje65777 years agoInauma saana, mungu awape uvumilivu na kuwatia nguvu wafiwa wote katika kipindi hiki kigumu. 9
@
@ruqaiyaibrahim18657 years agoMmmh mnanikumbusha baba yangu mndogo aliuawa mwembe chai/ dar poleni sana jaman. 16
@
@kassimmsimba91527 years agoNaogopa sana nguvu itakayotumika kuwasaka waha wahalifu naomba hekima busara itumike jazba isitangulie mbele baada ya oparation ninataka watanzania tujifunze. ...Expand13
@
@leahkazeba58507 years agoPoleni sana wafiwa mungu awe pamoja nanyie. 1
@
@hassanovajunior69727 years agoPoleni sana jeshi la polisi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema palipo na wema peponi ameen. 2
@
@mamymamy89717 years agoMungu ibariki tanzania poleni sana wanafamilia wote mungu awape subra kipindi hiki kigumu hawa watu ni wabaxa sana ee mungu tusaidie.
@
@seifathumani35247 years agoPoleni sana walinzi wetu wa taifa, kwa msiba mzito wa kitaifa, mungu awaweke mahali pema peponi ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki, wote waliohusika na mauwaji haya ya askari wetu wasakwe kwa gharama yoyote.
@
@godfreykanelela94487 years agoRip mungu yu pamoja nasi ukiua kwa upanga na we utakufa kwa upanga. 11
@
@davidbendera54807 years agoPoleni ndugu zetu mlioopteza ndugu zenu. Pia poleni sana jeshi la polisi.
@
@shupajunior22827 years agoPolen sna najiuliza ni wapi tunaelekea jamn serikali wapen wananch uhkika mara kutekwa mra wanaotulinda wanauwaw tunakwendwa wapi. 4
@
@sabinamakumbuki33087 years agoMungu ibariki tanzania poleni sana jeshi la polis.
@
@hussenhassan52877 years agoUshaur wang kilasilaha yaselikal ingedungwa microcheap for secret ili ikiibiwa silaha isomwekwenye gps uwondokuibiwa. 3
@
@kassimmsimba91527 years agoKunatatizo kubwa tu, majambazi wa kuua askari 8 na kupora silaha si tukio la kitoto busara hekma zitangulie na sio jazba mimi natoa wito kwa jeshi la polisi. ...Expand
@
@fatumahalifa66237 years agoInnallillah wainnailah rajiun mungu warehemu askar wetu kwan wanajitolea kwa ajil yetu.
@
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 years agoEwe muumba mbingu na aridhi tunakuomba uwalinde nguvu kazi yetu ya taifa kwani hawalali kwa jili ya taifa letu la tanzania amin.
@
@saidwilson65297 years agoWote walio fariki kwenye matukio haya polisi pamoja na hao majambazi basi mungu azilaze roho zao mahali pema peponi. 1
@
@nzuna50497 years agoMungu azilaze roho za marehemu pema peponi, amina.
@
@mathiaslukas12337 years agoMungu alitoa mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe. 5
@
@issakasara66367 years agoInnah llilah wainnah illahi rajiun allah awape shufaa ndugu duh allah awajaalie makazi mema inshaa allah. 1
@
@mariachahe70777 years agoInauma sana poleni jeshi la polisi, r. I. P.
@
@mottofoundationinc.34927 years agoAcheni mikwarawoote wakati mnapambana nao. 6
@
@brunokarangali45967 years agoWatanzania tufunge nakumuomba mungu atuepusha na aya mabaraha ya kutisha, nchi yetu ina istoria moja tu yakupigana vita kwahyo tuombe isijekutokea tena.
@
@petermahoiga78827 years agoMungu ibariki tanzania, tuepushe na mabaya yote. 19
@
@nassormohamedyhamisimwariz12177 years agoKwa teknologia iliyopo sasa cm ikiibiwa inasoma gprs unajua ilipo. Kwa nn silaha za majeshi yetu zisifungwe gprs ili zikiingia ktk mikono ya watu wabaya mnajua zipo wapi kwa muda mfupi baada ya tukio?
@
@veronicalucas5807 years agoDuu tumeumia sana kazeni but hao watu watatukost acha maneno mengi kuwen sirius.
@
@edinahjames19767 years agoJamani huko pwani sasa tumechoka kila ckumola tuhurumie kila cku rufiji.
@
@7840557 years agoPole sana jeshi la polisi na familia za marehemu. 4
@
@verocletus10827 years agoMungu awe pamoja nanyi katika mapambano ya kusaka hiyo mijambaz.
@varentinemhoja80197 years agoDa r. I. P wapambanaji wetu lkn mungu asaidie na hao majambaz wote waliobaki wauwawe pia.
@
@ashahaji49367 years agoHili genge litakua limeandaliwa na liko imara mm imeniuma sana maana hawa c jambaz cjui niwaiteje hawa mbwa mwitu! 2
@
@shaffihsiraji31417 years agoPolen saana makamanda hao majambazi usiwaache kabisaa.
@
@mahmoudukusso44887 years agoKwa kweli hili ni tukio la kutisha na kuhuzunisha, lkn bado nina imani nahusika na jeshi la polisi kwa pamoja tutafanikiwa kama taifa mungu ibariki tanzania.
@
@soudmohamed22747 years agoPoleni sana lkn tutaamini vipi km na nyie hao mliowauwa ni majambazi kweli au mmeamua kuua raia wasio na hatia?
@
@tembaapriscus76407 years agoPoleni xana jeshi polisi kwa kuwapoteza wenzenu. Ushauri wangu kwa uma ni kwamba ulinxi ni watu sote si kwa askari tu. Tunaomba ushirikiano kwa rai wema kutoa taarifa punde aonikanapo mtu ambae unawasiwasi nae.
@
@allyfaraji64727 years agoMimi naona ao wanaoua wanatumiwa na watu frani. Ila ipo siku watafahamika akina nani wanawaandaa watu magaidi.
@
@sakinandoile47587 years agoMmmh. So sad amani ya tanzania iko wapi? Walinda usalama wanauawa je wananchi tusio na mafunzo! So sad.
@
@johdefinnest19287 years agoMuuaji akifiwa hulia machoz halis na sio bandia mlishaambiwa muwe mnafnya kwa kitendo cha harakaharaka. 2
@
@coutinhofanaka28397 years agoMnastahili kupewa pole, ila punguzeni ubabe kwa raia maana inafika wakati tunashindwa kujua kama mpo kwaajili ya ulinzi wa raia au mpo kwaajili ya kututesa.
@
@omaryabdalah20447 years agoPoleni ndugu jmaa na watanzania wengu kwa vifo vya askari wetu. 3
@
@derickcowly66817 months agoLaana ya mbarikiwa inaanza na ile yangorongoro na bandari.
@
@jerrysonpontian74297 years agoI trust global tv, sorry for the families who lost their lovely one dr pcs.
@
@masumbukosiyougomvi79007 years agoWatanzania pollen sana. Inauma sana watz baaz kushangilia askari kuuliwa? Ama kweli mtu huvunja utu wake mwenyewe.
@
@jazirshabanishabani69627 years agoRaia wangapi ambao wanakufa kwa kuuliwa na mapolisi lakini hamshughuliki leo mmeguswa mnaanza kusema asakari 10 kwa raia 50 wapi ambao wanauchungu kati ya jeshi la police na raia muache ujinga. 7
@
@hamisiseif75627 years agoPoleni sana askariwetu mungu yupo pamoja nanyinyi ila kwatukiohilo ndo mujifunze kwamba jambazi c mtuwakumchezea nyie mukiwaona majambazi gonga lisasi tu mpaka washike adabu.
@
@daimavlog7 years agoPolis wana smg wanatekwa na kuuwawa dah! 1
@
@nassorozawiya57787 years agoPolisi 7huyu aliye andika heading inaonekana c mtanzania.
@
@aliomarbakar69247 years agoMimi nataka niwaulize polisi mpaka jambazi anamiliki silaha ninyimkowap laiya hawezi milikisilaha kwahiyo bas mnawajua vizuri mshindwe tu kuwakamata.
@
@derickcowly66817 months agoAmna chochote kazi yenu ni kuwaoneya upinzani na wasema kweli.
@
@rosemarybenjamin58667 years agoNi more than pain aise polen. San nchi yangu tz police kwa ujumla na wafiwa, yan mkikamat ao ni kichwa kwa kwichwa iyo itakua tu migaid. 5
@
@mamarama63607 years agoDuuh mtihan yaan binaadamu sasa hatuna iman tena na mkoa wa pwan.
@kotadapotar509410 months agoKumbe mulikua mnawajua walipo ao majambazi mpaka wamefanya tukio ndio mnasema mtawafwata uko walipo mnapajua siku njingi sehemu zao.
@
@josephmihambo48727 years agoWatafutwe popote walipo wakamatwe kwa njia yoyote ile wapatikane. 20
@
@maftahmusa95137 years agoMsiba mkubwa inanikumbusha walivyo dunguliwa raiya vijana wadogo kwa risasi na kupoteza maisha pale mwembechai na mwanafunzi chiku adhumani akitokea shule kupigwa risasi mpaka sasa kilema,
@
@katefarmlwafu11567 years agoPoleni sana, mungu atunusuru na majanga haya. Kiukweli mm binafsi imeniuma sana tena sanaa.
@
@bosiabu66077 years agoManeno tu yaifai jitahidini sana kuangamiza uhalifu fanyeni operation ondoa silaha haram naona mtatoboa.
@
@nipolive..27457 years agoNashndwa kujua niuzembe kiasiga mpaka wore kwa pamoja wauwawe iv kama pols wote hao wameuwawa. Vp. Kuhusu wana nchi ulnzi wao.
@
@zulehaabubakar3574last yearNikweli hatukubishii afande watafuteni muwauwe tu nawao.
@
@immamlowe7347 years agoWalioect kama police same dhalilisha jeshi.
@
@mtashigalaxy30586 years agoAskari waliapa kua watalitumikia taifa lake kwa hali yoyote iwe ya shida au raha na wanaslogan yao kwamba walizaliwa cku 1 na kufa itakua n cku 1 chamcng makamanda pigen kaz kuhakkxha mnaleta aman tz,
@
@hongerakkachawasemewwkzbut49967 years agoJamani hao watafutwe mpaka wapatikane maana wanatumalizia nguvu kazi yetu ya taifa.
@
@masseanadir29047 years agoWanaua watu hata wasiohusika kwa kisingizio cha kulipa kisasi.
Related videos for Polisi 8 Kuuawa Kibiti: Polisi Wajibu Mashambulizi waua Majambazi Wanne:
mungu ibariki tanzania.
na kuuwawa dah! 1