Comments - 221
  • @
    @nurukhalifa94133 years ago Sijui kesho yangu Mungu nisaidie yasinikute haya very sad 54
  • @
    @mimiapa84363 years ago Pole mwanamke mwezangu yote mitihani naamini Allah atakufanya uende njia nzuri kupitia huu mtihani 7
  • @
    @munaahmed84993 years ago Subhannallah tuwaombeeni binadam wenzetu hao japo wamekoses lkn sasa watoto itakuwaje dah siez ongea sana sifahma kesho yng ispoluw muumba wng anajua zaid 6
  • @
    @levels46983 years ago Tamaa Zinaponza Tuwe wa kweli hakuna anaependa watoto wa wenzao Waaathirike 8
  • @
    @salehhamadi60703 years ago Kama unaamini na sio tulokuepo uraiyani ni wafungwa watarajiwa achia like ndugu 28
  • @
    @Ukhtyzuhura3 years ago Kijana wangu ni mhanga wa kuvuta madawa Kwa miaka mingi imeshindikana kabisa kuacha maisha yake jela nje jela nje....lkn pamoja na yote namuombea mwanamke mwenzetu Mungu amsimamie 6
  • @
    @aishaomari9443 years ago Inshallah mungu yupo unatoka hata msamaha wa raisi tuwaombeee inshallah 10
  • @
    @AMI-ip1lx3 years ago 😭😭😭😭😭Inaskitisha Jamani Uwiiiiiiiiih 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 6
  • @
    @leilasadick54773 years ago Daahh it's very sad 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️😥😥😥watoto watakaa na nanii jamani nyiee 😥😥😥 mungu awalindee jamni duuhh 2
  • @
    @eliasthomas15473 months ago Mungu aingilie kati miminawaza tuu watoto.
  • @
    @abdulbagayan6143 years ago Dah poleni saana jamani bora nikae na umaskini wangu maisha si biashara hii 2
  • @
    @oscaroscaroscar79743 years ago Wao wanafanya watoto wawatu wae mateja Afu nyie munaona huruma wao Kukamatwa kifungo cha maisha nyie kweli Amko sawa 5
  • @
    @sadahgullam82283 years ago Jamani kwann watu tunapenda maisha ya haraka hakunaga shortcut halafu wanatesa watt wao jameni 3
  • @
    @othmanshahib11153 years ago Ila sazingine sisi wanaume tunakuwaga chambo kuwaharibia wanawake maisha unamwingiza kwenye Biashara ambayo angekuwa yeye kama yeye asingeweza lakini umemshawishi dada wa watu. Na usilomi wake wote akakubali ona anavyo henyeka si wangemfunga mwanaume tu maana ndiyo labda walitoka nae tu hakujua au ilikuwa Biashara ya mume wake tu.wange mhurumia yeye na watoto mazigira yao wataishije. Mbona majambazi huwa mnawahukumu bila wake zao kukutwa kwenye gari siyo tija kama alipanda bila kujua naomba wanasheria wamtete Huyu mama mungu atawalipa😭😭😭. ... 1
  • @
    @lusekelocharles80663 years ago Inasikitisha sana ndio kweli lakini nikiangalia ndugu zetu wanavyoumia na madawa hayo naona acha wafungwe wapumbavu hao kwani ilikuwa lazima kwao kufanya biashara hiyo tuu foolish na hii iwe mfano kwa watu wengine wanaotuumizia ndugu zetu na kwa dawa hizo. Mungu uwalinde watoto hao kwani hatia si yao ameni ... 2
  • @
    @muanashaswaleh51103 years ago Yarabi mungu awapenguvu mana inasikitisha ukiangalia vijana mitaani wame aribika nanyinji mkifumgwa maisha nayo pia ina umiza 5
  • @
    @wigsbyrhoda73342 years ago Yaan wamefungwa tayari wakiwa na umri miaka 40 nakuendelea dah...kutoka sio rahisi
  • @
    @mursalsaid33273 years ago Tatizo bado lipo kwenye viwanja vya ndege na bandarin ,bila kuweza kudhibiti hizo sehemu bado , 4
  • @
    @abuuthauran99333 years ago Mnatembea namagari makubwa kumbe kazi zenu ndio hizo duuuuuu!! 3
  • @
    @Ukhtyzuhura3 years ago Mungu awasamehe na awafanyie wepesi hakika moyo umeniumaaa mwanamke mwenzangu... 5
  • @
    @dinoboyarnold23893 years ago Poleni sana watafutaji Mungu awape nguvu kipind hiki mtu anaeshabikia ujue hajui utaftaji na hajui kila kazi inachangamoto 🙏 4
  • @
    @calolinamwandali35993 years ago May Allah,teach you a lesson,&may him,alone favour you,with majesty mercy,on you&all lslams, worldwide,let's pray **DUA**for them,&that one day Allah make a miracle,they be released, inshallah,ALLAHU AKIBARUH, will understand us,one-day,**DUAAAAA! ... 6
  • @
    @shebyboy28093 years ago Ishallah mungu awajalie rufaa iwasaidie😭😭😭 10
  • @
    @Sppah6973 years ago Jamani si wasamehewe nafikiria wale watoto jamani.
  • @
    @idrissaabeidy68463 years ago Ila ukiangalia kk zetu mtaani walivyoharibika kwa hivyo vitu daaah inaumiza Sana poleni wanandugu mungu awatie nguvu 7
  • @
    @ambernina17243 years ago According to my little knowledge on law ... The supreme Court always hold the last decision if the high courts decisions were unjust and nothing more
  • @
    @sarachambo2243 years ago Insharah Mwenye enz Mungu atawafanyia wepesi mtatoka tu hakuna dhambi siyokuwa na msamaha mbele za Mungu na wewe uliyewahukumu Mungu anakuona!!! 2
  • @
    @ismailyusuph7403 years ago Watu nuksi sana’ wafanya makosa wakipewa adhabu kali mnaona wanaonewa’ wakiachiwa mnalaumu....Ama kweli binaadam tumeumbiwa UJUHA...!
    Hata mahakimu nao ni binaadam ‘ ni sheria tu ambayo wameitafsiri..!
  • @
    @salehhamadi60703 years ago Mbona kesi imechukua mda mkubwa tangu 2019 mpaka 2021 duh 1
  • @
    @axiommirgab8823 years ago huruma kweli lakin wacha wakapate joto ya jiwe kwanza ili nawengine kama wapo waache kuuza unga 1
  • @
    @Tatuabdi1233 years ago Namuonea huruma huyo dada jmn mh mngu ni saidy mn sjui kesho yngu 2
  • @
    @zawadichalale40473 years ago Ila tamaa hizi pesa hizi ,kutaka utajiri wa haraka mh! Chochote unafanya kina mwisho wake, 3
  • @
    @sanurandune80663 years ago Ingekua kenya hawa wangekua wanaburutwaa wangekua wanatembea na vidole ila hawa wanatembea kujiachiaa
  • @
    @hassanparamana22153 years ago wacha nife masikini tu lkn hii ishu hapana sitaki hata kuisikia nilikoswa koswa siku moja tanga mtu kanipa mzigo nimshikie kumbe ndani kuna unga duuh nilichoka wallah 4
  • @
    @mosesmzakwe77743 years ago Acha waende jela mbwa HAO
    Wakishakuwa na pesa huwa wanajeuri huku mtaani.
    Ukiishi vema utavuna kilicho chema
    Ukiishi hovyo utavuna kilicho cha Hovyo.
  • @
    @Agnes-qq4np3 years ago Duuuuuuu! Kifungo camaisha😥mbona hukumu ni nzito kiasi ico😭 7
  • @
    @onesmojustice23483 years ago Yaani msambwanda wote ule unaishia gerezani duh😱😱😱
  • @
    @charlesmyamba85313 years ago Sisi ni wafungwa watarajiwa kesho yangu aijua muumba mungu awatete ndgu 3
  • @
    @MohammedAli-rh5si3 years ago Bora wangesingiziwa ila wamekiri kufanya kosa wafungwe tuu madhara ya madawa ni makubwa zaid ya hzo ze kiki maana ukiacha kumuathiri mtumiaji hutuletea vibaka pia 1
  • @
    @topmusicpro18383 years ago Wamuhurumie mwanamke ili aweze kulea watoto 5
  • @
    @Mamatonny20653 years ago Kwani walipouza hayo madawa hawakujua kama Wana watoto ?.. 5
  • @
    @expert58983 years ago Ila haya mambo n ya ajabu sana!! Mbona mitaani kuna nyumba kibao wanauza madawa ya kulevya na inafahamika na unakuta mateja wanalala hadi hapo hapo!! Ila hao watu hawakamatwi!!! Na sio kwamba wanajificha saaana!!! Au kuna watu Wana vibali vya kuuza????????. ...
  • @
    @erastorichard96333 years ago Vijana wengi wameharibika sababu ya madawa ya kulevya hiyo ni stahiki yao kabisa 1
  • @
    @ilhammohamed41073 years ago Bora nife na umaskini wangu kuliko kunikuta yalio wakuta eehh mungu waja wako wamefanya makosa wasamehe na uwaangalie kwa jicho lako la huruma huenda wakatubia makosa yao kwani kufanya kosa sio kosa ni kulirudia kosa 1
  • @
    @mufamozmufash1663 years ago Jaji hakujali hata watoto kafunga wazazi wote.kuna umuhimu wakubadili katiba tanzania.
  • @
    @mangulymanguly1623 years ago Nnchi za kiafrica uonevu mtupu, kesi za kubambikiana tu,
  • @
    @fantamohamedi85643 years ago jamani kwani hamjui hayo madawa yanakatazwa? Mbona mnataka kumuita mungu shemeji? Alafu mnajuwa mna famly serikali hata km una mimba unafungwa sembuse unao tayari jamaniii.
  • @
    @mussakasimu28113 years ago kwa madawa ya kulevya na mm naunga mkono maamuzi ya mahakama.
    hatuwezi kuintertain upuuz wa namna hii, kwamba mamia ya vijana wetu wanaathirika kwatamaa za watu wa chache kutafuta utajiri wa haramu.
  • @
    @shifaaal-baity45033 years ago Wanyongwe..kazi yao.kuharibu jamii😤😤😤😤😟 2
  • @
    @aleyabra80053 years ago Kw nini mahakama haziwapelek gerezan wale viongoz wanaokula mali za umma na mwisho wa siku wanatumbuliwa tu halaf wanaondoshwa nafas zao tu halaf mali wanawachwa nazo huu ni uonevu
  • @
    @sharifakhamis24613 years ago Yan vijana wetu wakivuta hayu madawa hajuwi ibada wala hana faida kwa wazaz wala jamii zima jaman kwann mnafanya hiyo biashara na mnajuwa madhara yake nimakibwa sana hapa dunia na mbel ya haki
  • @
    @richardbuhatwa19403 years ago Sheria imetenda haki wangekuwa vijana wengi wameasirika kwasababu yao
  • @
    @nurafedrick3783 years ago Duuuu wauajii hufungwaa nakutokaa wamadawaa wanahukumiwaa maishaa loo hamna huruma na watoto wao siafadhali mungeachia mke alee watoto wake 1
  • @
    @fatmaalwy48533 years ago Na mwanao anatumia mpaka leo madawa na imeshindikana kuacha je unajihis vp haikumi na hiyo ni adhabu za watoto wa watu wanavoteketea na madawa walivokua wanauza walikua hawajui watoto wawatu wanaumia na wengi wamekufa kwajili ya hayo madawa ...
  • @
    @aleyabra80053 years ago Madawa jee yameharibiwa au nd wajanja wameyachukua
  • @
    @emmyjuma63293 years ago Yaalab niepushie na mambo haya nakuomba
  • @
    @jafferabdullah16513 years ago Madawa ya kulevya hukumu yake ni kesi ya uhalifu wache wakatumikie washauwa wengi hao fundisho kwa wengine
  • @
    @zawadichalale40473 years ago Labda watakuja kutoka kwa msamaha wa Rais labda 1
  • @
    @margarethpolepole74383 years ago Hivi jamani watu bado wanajihusha tu na madawa yakulevya kuua nguvu kazi ya taifa kwa kweli wanastahili rahabu wazazi hao
  • @
    @leonefabian88553 years ago Ndugu zetu wamearibika alafu Leo niwaonee huruma 2
  • @
    @dulabori99223 years ago Mbona hawana hata hofu kuna nini nyuma ya pazia au ndio wanajiamini watatumikia kwa muda
  • @
    @salimsaid72003 years ago KWA GRAM 250 KIFUNGO CHA MAISHA IYO HUKUMU HATA HUKO CHINA HAKUNA HATA HAPO TZ SIDHANI KAMA WAPO WALIOWAHI KUFUNGWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KOSA HILO VP KUHUSU WALE VIGOGO WANAOINGIZA KWA MA CONTENA MBONA HAMUWAGUSI NA MNAWAJUWA AU PANA MLO???? ... 9
  • @
    @allthingdranabeauty3 years ago Ila tuache utani wawezaje kumstaki Eti Mume wangu anahuza madawa na wampenda na unawatoto naye sometimes wanawake tunabeba mizigo mizito sababu ya mapenzi ndio yale ya kajara
  • @
    @muanashaswaleh51103 years ago Jamani haya mambo yana umiza kote watoto wetu sahii hawajielewi hawasomi hawaogi hawana wanawake kwa ajiliyenu wauza madawa na nyinyi pia msisha yenu yashakua pabaya 1
  • @
    @alljamila51403 years ago Unamfunga mtu kifungo cha maisha Ana watoto wanne unachukua mali zake watoto wanasoma vip kwa g250 za unga brothers angalieni sio tu mnafunga watu 2
  • @
    @teddyoscar68763 years ago Kifungo cha maisha mmewaonea kwa hizo gram 275 tu na sio makilo daah jamani mmh, hiyo sheria ibadirishwe
  • @
    @elizabethmajaliwa51893 years ago Hudhuni ya Nini Sasa ,wao wamedhuru vijana wangapi?
  • @
    @hibaalfarsi77563 years ago hii kitu askar wenyewe ndio wanatuletea au wakubwa kwa ujumla, izo dawa zitawasaidia wakubwa, YAARABI, wanyanyue waja wako