Viazi 1/2 kilo
Makaroni kikombe 1 Yaliochemshwa tayari
Mahindi ya kuchemsha 1/2 kikombe
Pili pili kadhaa
Chumvi kjk 1 cha chai na 1/4
Pili pili ya kuanika au kusaga kjk 1 cha chai
Binzari nyembamba kjk 1 cha chai
Pili pili manga 1/4 kjk cha chai
Mozzarella Cheese kikombe 1
Unga wa mahindi vijiko 3
Maji 1/4
Bread Crumbs
Category
Show more
Comments - 7
Related videos for Cheese Balls za Viazi na Makaroni: