Duration 2:8

Wema Sepetu Atongonzwa Redioni, Msikilizaji alidhani hasikiki hewani

18 577 watched
0
89
Published 19 Mar 2018

Kila shabiki uwa anayo namna ya kuwasilisha love yake kwa msanii husika pale anapopata nafasi ya kuonana nae au kuongea nae kwa njia ya simu, hii ni njia ambayo shabiki wa wema sepetu ameona aitumie kumfikishia Wema salamu zilizopo uvunguni mwa moyo wake... #WemaApp

Category

Show more

Comments - 10