@EdwardSindayigaya3 years agoI am from rwanda, and i follow yr politics day to day coz i love you so much guys, but in particular i love mr paul makonde. 8
@
@frankkassongo66393 years agoBest interview of 2021 makonda nime tokea kukupenda sana. Endelea kumfuta pastor chris oyakelome, phd. Kweli uko fresh kaka. 4
@
@user-tq7yh5mo9m7 months agoMweshiniwa hongera sana mkuu ninakukubali.
@
@Hillaryedith73 years agoWell said mr makonda former regionslessalasm. It is inspiring! 1
@
@nenadurra84773 years agoWe support you makonda, you are better than anybody, believe me! 2
@joycelambwe90163 years agoHuyu paul makonda nampenda sana yuko vizuri sana kwenye uongozi, mungu umeona tunashukuru kwa baraka hizo na ziendelee. 3
@
@Mwarobaini3 years agoHuyo ndo mtu pekee ninaemkubali na kumheshimu, makonda yuko juu sana. 14
@
@africa74793 years agoNimepnda mtangazaji et mimi ni mtazamaji wako, akaibadilisha juu kwa juu safi sana. 2
@
@tatukapilimba45353 years agoHuyu jamaa ni very potential kwa taifa, na ni mbunifu sana kushinda hata viongozi wengine waliopewa nafasi kubwa za uongozi. I miss you alot big bother.. ...Expand11
@
@kyaruzidativa93983 years agoWewe nikiongozi mzuri sana naendelea kukukubari makonda. 2
@
@jamessilwamba42593 years agoUshauri wangu ukitaka kuwa kiongozi mzuri kwanza heshimu watu wa aina zote wa chini na walio juu yako pia na usiwe mtu wa kibri ukiwa na madaraka halafu. ...Expand3
@
@florakweyunga44907 months ago10/10/2023. Yaani mkoa huu wa dar ni mgumu sana. Lakini uliweza kakangu. Wanao kuchukia wakajitundike.
@
@haroldtere75153 years agoOngera makonda. Kiongozi ni wito! Siyo elimu ya chuo! 1
@
@radhiasalum71563 years agoNakukubali sana we mzalendo moka akusimamie. 2
@
@najma32683 years agoInterview nimeirudia zaidi ya marambili, kaongea vzr sana, kagongelea na nyundo, nimefanya kumsikiliza kwa makini kwakweli. 4
@
@theophilmakumbuli7 months agoMngu akubari kaka kiongoz mwenye kiu ya haki hakika naamin ipo sku mngu atakukumbuka.
@
@deomugu16163 years agoHave my respect all the way. Barikiwa sana kaka. 3
@
@emilymideva87833 years agoWoow nice interview mr muheshimiwa makonda frm kenya 254 2
@
@lusajomwaipopo50423 years agoUjasusi wa uchumi ktk inchi hii ndiyo shida.
@
@samsonmaurice103 years agoNimependa sana huu msemo wako mkuu, " usiogope kuonekana wa ajabu kama una jambo. 8
@
@eyumededu29483 years agoNampenda huyu kaka ni viwango vya wazalendo nakuombeq kheri baba. 5
@
@johnntabagi88613 years agoMakonda makondaa nakukubali mkuu huwanaamini ipocku utakaajuu zaidi ya pale ulipokuwa awali. 1
@
@rizikimgimba84433 years agoMakonda amesema mambo makubwa juu ya kufunguka ufahamu wa vijana wa african hasa wa tanzania kushangaza mataifa kwa kijiongeza kimawazo nakiubunifu natamani nipate namba yake tuzungumzie ayala hiili. 2
@
@halimamasai22343 years agoHongera sana makonda tu akusubiri 2035 inshalaah. 2
@
@zaym7769last yearNdio maana nilikukubali sana na kukutetea sana japo nilitukanwa sana.
@
@frankkaijage97263 years agoMakonda big up. Kwa kweli dar kumepoa kabisa. Tumetambua umuhimu wako.
@
@emmanuelsamba25713 years agoShida ya wabongo fikra zao zinakariri siasa ni unafki nasio taaluma.
@
@namukwayamweshihange88663 years agoNikweli kabisa very intelligent. Well done. 2
@
@innocentwilliam12143 years agoAlisema wakufunzi wanafundisha angali hawawezi kuongoza hata panya! Du. 2
@
@queenlinda2553 years agoUmeivaa kaka akili imekuwa zaidi na zaidi. 3
@
@sylvestrengwelu20123 years agoMh. Makonda hongera kwa hatua hiyo ya kuongeza ujuzi kielimu. Elimu haina mwisho. Hakika una focus nzuri. Mungu akubariki sana.
@
@erastonicholas55893 years agoWewe umeenda kulima kujificha mihela ulio piga. Eti kilimo kabla ya uongozi mbona kulikua hulimi? Hunaga rafiki mbona riziwani ulitenda ukasema muuza unga wewe damu za watu zina kusubiri mumeua sana. 1
@
@hamisinyanga4579last yearPaulo makonda ni puntin wa afrika lakini hawakumuelewa lakini sasa. Putin wa urusi kaiga. Kwa paulo makonda.
@
@shukurually8769last yearMwambie arudi tn kugombea kigamboni tunamuitaji sn huyu aliopewa dhama hana jipya.
@
@daviddouglas89437 months agoBashite kama bashite, hebu rusidha vyeti vya makonda mwenyewe kwanza, daud bashite wa kolomije.
@
@djpassovertz..tunaishimaramojalast yearSo umesomea jina gani daudi bashite au jina la kununua? Paulo makonda wa wahaya?
@
@fatmakombo75843 years agoWewe tayari ushakula maisha waachie wenzio shida utakayopata una kiburi sana mzee.
@
@awesasaladi59483 years agoMh paul makonda alikua kiongozi anayejiamini sana jitahidi kaka urudi kwenye uongozi sipati furaha ninapokuona huna cheo mkuu. 2
@
@BETConlineTVTZ3 years agoHuyu jamaa ana akili sana amini nawaambieni tutamuona mbali. 3
@
@AbdulnuruMbaraka-me9rilast yearKijana nimekuelewa na nataman ulud kundini.
@
@naitwahazina64333 years agoKaa ukijua watanzania tunakupenda sana.
@
@godfreymlay60692 years agoUtakoma kujuwa hiyo phd yako omba sana mungu vinginevyo utaipatia jela itoshe mm kusema kila ufalme una mwisho wake.
@
@seifmohamed8363 years agoKwani mpk shv analindwa na police ama yuko peke yake au ndio full ulinzi. 1
@
@frankkassongo66393 years agoPhd baba join our world. Welcome to the world of phd. 2
@
@yahyahamad18023 years agoUlikosea sana kuwashutumu watu na kuwataja majina hadharani kua wanuza madawa ya kulevya au wanatumia na ukatoa amri waekwe ndani nakushauri uombe radhi. 1
@
@epimackoscar25last yearMbali na mapungufu uliyonayo kama binadamu lakini una vitu vingi ambavyo vijana wenzio tunajifunza kutoka kwako.
@
@benny4345last yearTell him it isnotnegotiations nina siyo professionals. And he is enrolled at one of the top 5 universities.
@
@magdalena72233 years agoKila sk kilio changu hy mtu awepo ktk uongozi tena maana hk kichwa simchezo tumemis uwepo wako baba. 2
@
@joviangeofrey8663 years agoKilimo ndiyo kila kitu ila mje niwauzie miche ya vanilla.
@
@milomohamed72013 years agoHuyu ni kiongozi mjinga na ataendelea kuwa mjinga iwapo ndani ya dar hamna kitu alivhokifanya zaidi ya kupandikiza chuki miongoni mwa jamii. Foolish kabisa daud albert bashite.
@
@benny4345last yearStop glorifying criminals! That guy is a criminal!
@
@shedrackamos40213 years agoMoja ya viongozi ninao wakubali sana endelea kusoma kiongozi naamini phd unaipata kama yalivyomalengo yako. 2
@
@jayjay43133 years agoKumbe ni kozi. Diploma miaka 3, mazee. Diploma za kozi kama tukianza kila mtu atoe zake, kuna watu wanazo mia humu, ukisoma we kausha tu na vyetu vyako kavitumie ukiomba kazi. Bongo kwa kicki shikamoo.
@
@wazirmasokola59513 years agoUnao usubutu wakufanya maamuzi uogopi ukilipanga jambo zuri lenyena ww. 1
@
@waheedahtanzania49123 years agoNatarajia 2025 inshaallah uje kuwa rais wetu wa tanzania maana una kila sifa mashallah. 1
@
@seifmohamed8363 years agoKwani wewe makonda umemaliza kazi yako ama uliachiswa kazi yako kwa tamaa zaubunge na wana ccm wakakupiga chini kigamboni hatr.
@
@sponsor78823 years agoDarasa la saba tu ilikushinda sembuse phd. 1
@
@afropatriot77693 years agoNatumain pia umejifunza jinsi ya kuanzisha mambo ambayo unaweza kuyamaliza kwa akili bilakuheshimu watu na kutokua na ego. 2
@
@fredrickjohn84123 years agoZero braini inaongea pumba, bado anandoto ya kuwa kiongozi, mshenzii kweli.
@
@alisele52993 years agoMakonda kiongozi; mambo madogo tu & nidhamu ndio vilivyo mkwamisha, viva makonda. 1
Related videos for PAUL MAKONDA AELEZA SABABU ZA KURUDI SHULE / KUPOTEZA MARAFIKI NA NIA YA KUREJEA KWENYE SIASA:
nakuombeq kheri baba. 5
ndani ya dar hamna kitu alivhokifanya zaidi ya kupandikiza chuki miongoni mwa jamii. Foolish kabisa daud albert bashite.