Katika Mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vyingi nchini Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia kwa kufuata sheria awezeshe Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aachiwe huru kwa nia ya kuleta muafaka wa kitaifa.
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for ZITTO KABWE AMUOMBEA MBOWE MSAMAHA,KWA RAIS SAMIA ILI KULETA MUAFAKA WA TAIFA.: