Duration 10:37

DKT. BASHIRU KWA MARA YA KWANZA BUNGENI ATEMA CHECHE, WABUNGE WASHANGILIA

121 730 watched
0
616
Published 25 May 2021

Kutoka Bungeni Dododma leo May 25 Dkt. Bashiru Ally amesimama bungeni na kuchangia kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe kuwa Mbunge na Rais SAMIA SULUHU HASSANambapo ameliombal Bunge kuweka historia kwa kuibadilisha sekta ya kilimo kwa kuwa na ajenda itakayosukuma mbele sekta ya kilimo nchini kama ilivyofanya kwa upande wa madini na miundombinu ili kuifanya shughuli hiyo kuwa yenye tija.

Category

Show more

Comments - 291