Duration 4:13

VIJANA TEMBEENI KIFUA MBELE akala maalum kwa vijana wa Tanzania kwa kuthaminiwa na kuaminiwa.

36 watched
0
2
Published 18 Jun 2021

*VIJANA TEMBEENI KIFUA MBELE* Makala maalum kwa vijana wa Tanzania kwa kuthaminiwa na kuaminiwa na Serikali. Imani kubwa aliyoieleza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wetu Ndg. Samia Suluhu Hassan na iwafikie vijana wote Tanzania kwani kwani Taifa la leo na la kesho liko mikononi mwa vijana. #VijanaNguvuYaTaifa #KaziIendelee

Category

Show more

Comments - 0