Duration 21:10

Jussa arejea Zanzibar, apokewa kwa dufu na haluwa

99 840 watched
0
446
Published 11 Dec 2020

Ismail Jussa, mmoja wa viongozi wa ACT Wazalendo ambao walishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na vyombo vya dola, amerejea nyumbani Zanzibar akitokea nchini Kenya alikokwenda kwa ajili ya matibabu. Jussa amepokewa na ndugu na marafiki kwa shangwe kubwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Karume.

Category

Show more

Comments - 429