Duration 1:31

WAJESHI WA JWTZ WAONDOKA DRC, BAADA YA KUMALIZA MUDA WAO

22 979 watched
0
116
Published 1 Mar 2021

Umoja wa mataifa umepongeza majukumu na kazi za Askari wa kikosi cha kulinda amani cha Tanzania kilichopo DRC wakati wanajeshi zaidi ya mia mbili kutoka kikosi hicho cha FIB kilichokuwa kikihudumu katika jeshi la kulinda amani la Umoja wa mataifa MONUSCO kurudi nyumbani jumapili baada ya kuwepo mashariki mwa Congo kwa mwaka mmoja

Category

Show more

Comments - 24