Leo Disemba 21/2021 kikosi cha klabu ya Yanga kimerejea Jijini Dar es Salaam kujiaanda na mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Biashara United ambao utachezwa Disemba 26 2021 Uwanja wa Benjamin Mkapa. Kikosi cha Yanga Sc kimetokea Sumbawanga ambapo kilicheza mchezo wa Ligi dhidi ya Tanzania Prisons na kuibuka na ushindi wa mabao 2 kwa 1 Magoli ya Feisal Salum na Khalid Aucho….
#YangaSc #KIkosichaYanga #KochaNabi #kochawayanga #MpenjaTv