Duration 4:39

SHEREHE ZA UFUNGUZI WA HOTELI YA MKOANI PEMBA

3 647 watched
0
10
Published 14 Aug 2020

Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF, ulifanya ukarabati mkubwa wa Hoteli ya Mkoani Pemba, na kuifungua rasmi tarehe 5/8/2020 ambapo mgeni rasimi wa shughuli hiyo alikua ni Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein

Category

Show more

Comments - 3