Duration 2:31

Adha ya usafiri mwisho wa mwaka

92 watched
0
1
Published 24 Dec 2021

Kumekuwa kukishuhudiwa adha ya usafiri karibu kila mwisho na mwanzoni mwa mwaka katika maeneo ya usafiri nchini Tanzania, kutokana na kuwepo kwa watu wengi wanaosafiri kusafiri makwao kusherehea sikukuu za Krisimasi na mwisho wa mwaka. Kutoka Arusha Veronica Natalis ameangalia adha ya usafiri

Category

Show more

Comments - 0