Duration 4:29

MZEE HAMISI KILOMONI: MO AMEVUNJA SHERIA ZOTE

103 753 watched
0
225
Published 21 Aug 2017

Mzee Hamisi Kilomoni leo akiongea na waandishi wa habari alielezea kutokubaliana na maamuzi ya wanachama ya kukubali kumkabidhi Mo Dewji hisa za asilimia 50 kumiliki klabu hiyo. ENDELEA KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU /channel/UC5fu ... ENDELEA KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU /channel/UC5fu ... ENDELEA KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU /channel/UC5fu ... ENDELEA KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU /channel/UC5fu ... ENDELEA KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU /channel/UC5fu ... ENDELEA KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU /channel/UC5fu ...

Category

Show more

Comments - 272
  • @
    @abdulaselmwalwiba40645 years ago Nyinyi wazee ndio mnao zivuruga timu yale ya mzee akili mali. 10
  • @
    @BontamLee5 years ago Simba ina miaka 80, wewe una miaka 100 au? Acha tamaamali za baba yako sio simba. 11
  • @
    @conradbuberwa67925 years ago Mambo yakizamani sana. Tuachie timu yetu. 2
  • @
    @mickmaheka25415 years ago Mbona mnatuchanganya nyie hii clip ya 2017 saivi tuko 2019 msituchanganye. 2
  • @
    @kingthedon5 years ago Poleni kwa mataizo. Mo aliipenda timu lakini kilomoni aliipenda zaidi. 14
  • @
    @bakarininga41005 years ago Mbn unataka kuturudisha nyuma sana mzee kabla ya mo ulikuwa wapi em tulia. 1
  • @
    @naiiemkosovo81325 years ago Miaka yote amjawahi kuleta wahekezaji leo ndio wapo wa canada sijui wapi uongo njaa tu inasumbua. 7
  • @
    @mpendapolejohn93225 years ago Ww mzee umetoa shilingi ngapi kusaidia simba. 6
  • @
    @chausamhando18445 years ago Mchawi mkubwa umechok kapumzike timu ifanye vzr mo dewij ndo hbr ya mjn. 6
  • @
    @mangofish90796 years ago Acheni umajununi njaa zinawasumbua process hizo za uwanja miaka 50 tumekupeni mumefikia wapi wacha tuwendane na maxingira yaliopo sasa sio ya miaka 40 iliopita. 1
  • @
    @josephatolenoah63055 years ago Kwahyo umeridhika kwa hizo mijengo fala wew, kojoa ukalale. 4
  • @
    @kasimuyusuph82275 years ago Huyu mzee mjinga sanaa hata uwezo wa kulipa mshahara wa mlinzi (1) hana nja tu. 1
  • @
    @fauahamisi10975 years ago Mzee wangu achana na simba yetu watani zetu unaona kila cku na bakuli unataka tufanane nao? Tuache kwanza huna lolote njaa mbya jmani. 2
  • @
    @abdulndeka7395 years ago Huy mzee mchawi anataka kuvuruga analeta habar za kizaman aendezake huko hatutaki sifa sis tunataka maendeleo ya timu yetu. 1
  • @
    @samsonkibona43325 years ago Guys kwa nn mnateseka? Hii video ya mwaka jana.
  • @
    @morlovzeboy49265 years ago Hahaha guys achen kutukan hi taarifa now 1 year ago alikua na njaa zake uyu mzee km umeanglia vzur km mm lyke yko tumpotezee uyu babu. 1
  • @
    @bokimmwamba23225 years ago Asa wawekezaji toka south akati muwekezaji wa ndani yupo ndo nini kuigawa timu ivoo wee mzee mbn unahira ivoo apo umeona mafanikio na hujapata chochote ndo maana umejiinua. 7
  • @
    @frankmombo94875 years ago Mbona hii clip ya 2017 kabla mo hajawa mmiliki wa simba. Pumbav. 1
  • @
    @raymondmissana71247 years ago Roho mbaya tu. Ww unataka wapewe watu wangapi. 2
  • @
    @vakwawesanga7335 years ago Kwendaa mze kilon simba ya mwaka 1930 ww wa mwaka gani mze acha zako nzito hizo. 1
  • @
    @zunyagapeter46475 years ago We mzee msenge kweli tutapambana na ww mpk mwisho acha ujinga kabx. 1
  • @
    @saidimilanzi64037 years ago Ni kweli hii klabu ni ya watu sio ya mtu, hao watu ndio wameamua mabadiliko sasa kinawakera nini, hebu tulieni, mbona mnaongea wenyewe. 1
  • @
    @allyissa58015 years ago Hivi miaka 80 timu haina uwanja leo useme mta jenga hii nishida tupu mzee anaandaa mgogoro ndani ya timu. 2
  • @
    @aliissa93735 years ago Awa wazee uwaga wanaharibu mpira tanzania. Mona ulaya amna wazee.
  • @
    @andreakomba17735 years ago Huyu mzee jinga sana walikuwa wapi njaa zenu hizo. 1
  • @
    @florentbunzaly63915 years ago We mzee kaoge kwanza.
    kucheza bure kunatokana na mpito wa wakati.
    1
  • @
    @rashiddundo98225 years ago Waziri weka ndani ilo fisadi tu mo ndy kilakitu yeye nani bhana. 1
  • @
    @hermanmwailanga6425 years ago Mpabaishaji tu huyu mzee anataka kuzeheka vby sana. 1
  • @
    @ambokilemussa21805 years ago Mzee yuko sawa sana ila limbukeni wasiojua kitu wanasumbua kinoma. 2
  • @
    @issajongo51265 years ago Bora mungunjaa zako. Kwakua ulicheza kwa lidha ukupata mafanikio unataka ujilipe leozako.
  • @
    @daudyussuf98595 years ago Hizi media zinaleta ukuma hichi kitu cha zamani mnakileta sasa. 1
  • @
    @ndarogamba1915 years ago Anatumwa huyu na waganga njaa wake na simba iko on fire mwache aweweseke na ndoto zake na hao vilaza waliomzunguka! 1
  • @
    @rechomugilafaya65605 years ago We mzee mento kweli acha hizo muachie mo we hauwezi. 1
  • @
    @jumadikwakwa30785 years ago Njaa yko usituvuruge ss achana na simba. 2
  • @
    @emmanuelnyove82925 years ago Kuna mzee pembeni hapo anaonekana ananjaa maana mdomo umepasuka utafikili yupo kwenye swaumu haa jaa haa. 2
  • @
    @elisantewawa30477 years ago Mzee umfaya kwa wakati wako zama zinabadilika pumzika utakufu na puresha. 2
  • @
    @kusekwasita15765 years ago Kumbe na nyie simba mnahiki kirusi kama cha yanga ki akilimali ahahaha hiv vzee. 1
  • @
    @rashiddaud65315 years ago Kwani hapo ukutani ndio picha ya somba mwenyewe kweli? Mbona naona kama rasta asie na huduma. 1
  • @
    @marypeter73805 years ago Wawekezaji wa nje wa nini wakati wa ndani yupo, sio mzalendo wewe. 4
  • @
    @godfreyumtiti76895 years ago Yani we mzee unavyo nikela kwanza hiyo timu ya baba yako. 1
  • @
    @simbamaduhu16005 years ago Mawazo ya kizee ukinunu hata kandambili atajigamba napata maendeleo. 1
  • @
    @walyamwambona.fanya.yako.275 years ago Unataka nini sasa huna ata uwezo wa kusajili mchezaji mmoja. 1
  • @
    @mohdseif39035 years ago Umechele mzee kilomoni kila kitu kimeisha. 1
  • @
    @fadhilinzota89935 years ago Unanjaa utamleta nani hapo mbona juzi klab bingwa hujasema jambo?
  • @
    @brightonchedego81005 years ago Hii vdeo inaonesha ni ya 2017 maana mzee anaitaja miaka 81 tokea kuanzishwa, na ukiijumlisha ktk 1936 inaishia 2017 na sio 2019,
    ninyi waandsh . ...Expand
  • @
    @chagulaniadams39655 years ago Sasa kilomoni mbona hukuwatafuta hao wawekezaji tangu awali. 1
  • @
    @tatunyambala2945 years ago Maendeleo kwanza wewe mzee vp ulikuwa wapi miaka yote. 1
  • @
    @hermanmwailanga6425 years ago Hakuna mzee anae nikela kama huyu hivi anamchango gangiza sisi. 1
  • @
    @issashearer35055 years ago Hongera sn ww mzee uko write sn wanaokubeza ndio hao wasiojua ktu yani big up khamis kilomon. 1
  • @
    @amosimusso75895 years ago Nyie wazee cjui lin mtakufa wewe na akili mali timu cy za babaaenu wasenge sana hawa wazee. 1
  • @
    @sadatiaudax62985 years ago We mzee hem tuachie timu yetu bhana we una uwezo wa kusajili hata mchezaji? Hem jieshim bhana.
  • @
    @njemuyegela28355 years ago Huyu mzee karudisha maisha magumu ya simba, duh inauma sana. 1
  • @
    @philimondeo78595 years ago Ww mzee unataka kuhalib timu yetu huna hta hela yeyote ya kusaidia timu ww acha unafik. 1
  • @
    @allyflavour80055 years ago Unasaidia nini mzee maana hata hivyo. Swaachie team maendeleo ya kufika mbali sio kubeza kila kitu. 1
  • @
    @kallahassan48965 years ago Wazee kama hawa ata uwakute wanaelekea kufa nikuwamalizia.
  • @
    @farajampombo19817 years ago Sasa ww mzee simba ni mali yako au? Mbona wanasimba wote wanataka mabadiliko ww uko kinyume. 2
  • @
    @emmanuelnyove82925 years ago Huna mchango wowote tembea mzee acha ujinga wako kajitundike basi ufe njaa waombe wanao wakupe pesa. 6
  • @
    @anodiantoni66395 years ago Ivi wazee wakitanzania wanaabudu sana uchawi yaani mtu anajiamini eti kisa uchawi shida tupu.
  • @
    @shaabanmusa51277 years ago Rudi kwa mola wako umri ushakwenda, tafuta hatma yako juu ya mola wako ushafanya tosha mambo ya kupita kulaximisha huko sawa n kutafuta kutukanwa n watoto . ...Expand 1
  • @
    @mohammediallykaboza58625 years ago Mh mo kwa ushauli tu huna haja ya kuingia ktk mvutano na hawa wazee kwa sababu huenda mkawa aidha tukawa tofauti fulaha yetu huzuni kwao nini kifanyike . ...Expand 1
  • @
    @deusmyula51137 years ago Wew mzee, n mchawi inaonekana maisha yako uliishi kwa kula kpitisa simba sasa utakomaa ooh mashaki wa simba tnatska ushindi ila wew unataka kula sio id="hidden6" kingne wew mtu mmoja uwez ktukwamisha wanachama wameamua y unataka nguvu yako izid nguvu ya wanachama wengi, mpiranenda kalale wew ishakukata. ...Expand 1
  • @
    @mhubirisamuel52455 years ago Huyu mzee anaonekana ni mchawi, mheshimiwa makonda sukuma ndani huyu. 1
  • @
    @boniphacemarwa61415 years ago We mzee iachie simba huku hatukutaki kabisa. 1
  • @
    @enockmwambamkubwatz32155 years ago Tatizo mnakurupuka angalieni na habari ni ya mwaka gani mamburula.
  • @
    @abdullyabasiabasi23755 years ago Tafutatim yk achanja mzee wng wenziowote wamekaakimya ww ndounauchungu nasimba.
  • @
    @abubakaliselemani67455 years ago Mzee yupo saihii jamani kilomoni oyee.
  • @
    @stephanoechacha5295 years ago Hili zee vp nalo simba mmekua nayo kwa miaka yote ilifanya nn acheni njaa.
  • @
    @deogratiashaule52245 years ago Hawa njaa tu inawatesa mukiwasikiliza simba mtarudi zero. 1
  • @
    @bakarikalinga17515 years ago Sasa wewe una hati miliki wakati majengo hayauzwi? Wewe baki na hati miliki, mpaka ufe, 1
  • @
    @seifdavidmkama77525 years ago Pumzikeni wakati wenu umeisha hivi vilabu vya mpira ni kama mbio za vijiti nyie mlifanya mkaishia hapo acheni na wengine waanzie hapo mlipoishia nyinyi . ...Expand