Duration 15:50

Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - WANATUTISHA

523 412 watched
0
1.7 K
Published 16 Mar 2020

Wananchi 'WAMCHONGEA' MBUNGE, DC kwa MAGUFULI LAIVU - "WANATUTISHA" RAIS Dkt John Magufuli, leo Machi 16, ameanza safari ya kuelekea mkoani Morogoro kwenda kutazama daraja la Kiegea ambalo limekatika tena jana ikiwa ni siku chache baada ya kufanyiwa ukarabati.. Akiwa njiani kuelekea Moro, Rais Magufuli amesimama barabarani katika maeneo mbalimbali na kuzungumza na wananchi pamoja na kukagua baadhi ya miradi inayotekelezwa na serikali. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 182