Duration 5:28

Nguvu Nyuma Ya Marafiki Wanaokuzunguka ( Part 1) - Joel Nanauka

9 886 watched
0
155
Published 7 Nov 2019

Nguvu nyuma ya marafiki uliona, mara nyingi tunakuwa na marafiki na bila kujua watu wanaotuzunguka wanatuathiri katika mfumo wa maisha yetu ya kila siku.Hivi unajua wastani wa maisha yeko unayoishi inategemeana sana na watu sita waliokuzunguka.Niandikie hapa chini, Je kuna ukweli wa namna gani katika mambo niliyo yaongea? #JoelNanauka#Marafiki#Wanaokuzunguka.

Category

Show more

Comments - 27
  • @
    @bakarimbonjo71825 years ago Kama na wew umemwona mtangazaji anamuelewa sana joe kama navyomuelewa mimi gonga like. Za kutosha. 4
  • @
    @devothadonaldsimbi34995 years ago Nimekuelewa kabisa bahati nzuri hiki ulichokielezea auvizuri mimimuda, uko sahihi kabisa wengi tunachanganya au tumehindwa urafiki tulionao ni upi tunabaki kulalamika tuu. Shukrani kwa yote. ...Expand 1
  • @
    @Dm-yq9wn5 years ago Kaka unakipawa kikubwa mno japo watu wanachulia poa nimerudisha hichi kipambe zaidi ya mara tatu umenifundisha kaka jinsi ya kujua type ya marafiki. 5
  • @
    @msleny67675 years ago Huu ni ukweli kabisa
    you are the everage of those whom you spend your time with most of the time, it is practical.
  • @
    @zuhuraabdillah69415 years ago You opened my ears bro i was think everybody is best friend but not true ooh so its my duty to sort friends and their categories.
  • @
    @johnluhwa83425 years ago Kazi nzur sana kaka joel, tunaomba hii mada uimalzie ni funzo kubwa sana kwetu. 1
  • @
    @teamfocusfunny9665 years ago I need to share this, you are the best bro.
  • @
    @aishaomar43185 years ago Ili awe rafkiako aweje au awe na sifa gani?