@laiyahassan7694 years agoA victory speech. That is abless this man. Leave long jpm.
@
@shaddybmc83424 years agoTunaompenda mheshimiwa rais wetu mzuri sana wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Mh. Dr. John p magufuli gonga like hapa chini. 147
@
@saidmarley40494 years agoThat the pointalways trust in god no matter what! If we forgot god and fear corona how will god help us against this virus! Mr. President you are the real lion of africa because you stand with the facts and truth without fear! God bless you!. ...Expand
@
@rashidmlunga61454 years agoMm nilipenda hiyo statement yako my rais kumuomba mungu ni jambo jema sana upo vzr mungu akulinde. 8
@
@sethmbeke97284 years agoNawaombeni wafrika tusiamini dawa kutoka madagascar, who wanafahamu jinsi gani wafrika hawapotayari kupokea chanjo kutoka kwao japokuwa mpango wakuwaangamiza. ...Expand3
@
@MachembaMedia4 years agoMzee kikohozi vipi, au vumbi la chato hilo, nice speech kwa kweli. Ndio maana watanzania wakakuchagua uwaongoze. Huwa huyumbagi kwa mambo ya mpito, uganda: lock down wananchi wanakufa kwa njaa, wengine wanafia kwenye mavarangati ya kugombania chakula. Ubakaji kwa mabinti na unyanyasaji wa kingono kufuatia baa la njaa. Ongezeko la wauzaji miili, hasa maeneo ya mipakani na vituo vya magari makubwa ya mizigo(sababu njia za utafutaji zimefungwa) kenya: njaa kwa raia, vurugu na uvunjifu wa amani, matukio ya wizi pamoja na walipa kodi kupigwa na askari. Vifon. K. ...Expand
@
@clemencechambua80284 years agoSpeech nzuri sana, ina point zinazotupa imani kwamba kweli wewe ni raisi wa nchi yetu. 8
@
@nasraabdallah8504 years agoNipo nasoma comment nenu tu hapa na kureplies km nawe msoma comment likekwauwezo wa allah nahili litapita usivunjike moyo rais wetu maguful wew ni jasir. 35
@
@neemahamisi43024 years agoEe mungu umetupa raisi kama nabii tanzania msaidie mpe afya na maarifa zaidi sisi tutamuombea ee mungu msaidie mlinde na maadui hasa wale wa karibu yake amen. 3
@
@oswiitvonline65144 years agoNapenda sana msimamo wako mh. Rais wetu you' re my ever role model. Sisi tupo pamoja na wew mheshimiwa na tunakupenda. 3
@
@mawananasoro44054 years agoAsante mungu umetupa rais mwenye ufahamu mkubwa mungu akuzidishie baba. 9
@
@angukuam30984 years agoTanzania siham kwa kwel. My president big up. 6
@
@johnmwambungu74344 years agoBig up mh rais speech yako ni strong and fascinating na watanzania tupo nyuma yako na tunaamini katika hili tutashinda.
@
@alqaasim_a_tz24124 years agoKumbe mheshimiwa amejificha mpaka kwenye magroup yetu, dah kweli huyu ni jembe na ninamkubali kwa mikono miwili usikute kwenye magroup anachangia kama. ...Expand8
@
@ferouzmasoud47414 years agoAsante baba tunaomba utuepushie na janga hili katka nchi yetu na dunian kote. 3
@
@omanoman7284 years agoMung akupe maish malefu rais wetu endelea kudum katik kz yk mzee bab. 19
@
@joycebetuely62174 years agoMungu akujalie maisha marefu raisuishi miaka mingi kwakweli. Mungu ibariki tanzania, mungu mbariki rais wetu. 1
@
@c.bproduction25764 years agoGood. Kanisa la sinai missions international tawi la temboni sinai pentecostal centre tunazidi kumlilia mungu katika jina la yesu ili akulinde sana rais wetu kipenzi amen. 4
@
@ashazaharan17504 years agoAlhamdulillah allah akumpe umri mrefu rais wetu. 2
@
@husnahassan62894 years agoWw ni zaidi ya rais baba nakuombe mungu akuongoze zaidi na zaidi ameen. 13
@
@husseinalawi80454 years agoMungu atajalia itatusaidia iyo dawa inshallah. 18
@
@piensianamalindi994 years agoKura yangu mwaka huu lazimana vimanenomaneno always you be strong. I love you forever. 2
@
@eischerschwederm78764 years agoMbowe zitto sio viongozi big up mbatia the truenitakupa kura mbatia nampenda maguli na mbatia as oppotion leader with morals andleader. 5
@
@margarethsolomon98234 years agoPoints. I appreciate it. Big up my president tingatinga, burudoza hapa kazi tu. Love you.
@
@jacksonsindoma91174 years agoHata mazishi ya usiku ni kutia watu presha tu. Maiti za wapendwa wetu yaweza kuhifadhiwa vizuri na kusafirishwa hata na gali 1 maalum zikazikwa kule familia ilipochagua. 26
@
@leahrichard63554 years agoAsante sana rais wetu kwa hotuba nzuri, mungu mjalie rais wetu maisha marefu.
@
@temkezatv43814 years ago" tanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza. ...Expand18
@
@starridge36154 years agoYona na samaki daniel na simba meshach kina abednego na moto nipeni like. 22
@
@ellysilwani92874 years agoWaafrika tupende vya kwetu, sio kilakitu kitokacho ulaya ndo kipo sahihi, najua wasomi wanasayansi hapa tanzania na afrika nzima mkokwanza tafuteni dawa(tiba) ya hili janga, tafuteni chanjo pia nina imani mnaweza wataalam wetu. Mungu ibariki tanzania, mungu bariki wataalam wetu. ...Expand7
@
@ibrahimadam8704 years agoAsante rais tuombe mungu iyo dawa itusaidie. 1
@
@mr.josephnyandamasanja60724 years agoMungu ibariki tanzania. Mungu wabariki viongozi wote mbariki raisi wetu. 1
@
@farijalambaga96004 years agoMzee pole na majukumu baba, niseme tu changamoto unazokutana nazo huwa mungu hufanya jambo kwaalikufanya wakati wako wa kuwa rais iwe ni kipindi hiki kikugu kwakuna gonjwa litazuka, na hii nchi inahitaji kupata kiongozi mwamba katika hiko kipindi cha hilo janga. Ivyo mzee piga kazi. Haupo kwa bahati mbaya, upo kwa makusudi ya mungu, mungu akutangulie nakuendelea kukupa maarifa yakukabiliana na mitihannyongeza ni hayo tu jemedari. ...Expand
@
@jacoboester45364 years agoDah mungu akupe nguvu, afya na miaka mingi we ni zawadi mungu alie tupa. 20
@
@janethkasanga10584 years agoEeeh mungu mjalie maisha malefu raisi wetu. 33
@
@dicksonboniphace11134 years agoKutokana na hili sasa taifa liinuke na nguvu mpya asante mheshimiwa rais. 22
@
@farhiyaareef95184 years agoMungu ampe nguvu huyu baba, yaan nikiskiaga hotuba zake huwa nafarijia mno, mungu atusaidie tupite hili janga, na ampe ujasiri wa kufanya maamuzi sahihi muda woote, mungu ibariki tanzania na africa kwa ujumla.
@
@senipetrotv61274 years ago" mambo ya kucopy na kupest hatuwezi kuyakubali nchi kwetu" 12
@
@furahafedrick85014 years agoNakupenda sn raisi wetu mungu akuzidishie miaka mingi sn tn sn. 1
@
@teddymwageni17634 years agoMungu akulinde rais wetu wewe u mwema kwetu.
@
@saighilunyangusi49864 years agoMwenyezi mungu mkuu tunakushukuru kwa kila jambo, mlinde rais wetu uliyetupatia sawa na mapenzi mungu! 8
@
@deekiwangofire19274 years agoMungu ilinde tanzania daima rapper from mwanza dee kiwango. 11
@
@fanueledmund64084 years agoMungu akubariki sana na mh mazishi ya usiku yanawashtua watu wengi nakuunga mkono sana pia. Pia nakuomba mh rais jaribu kuwafuatilia viongozi wako kwa. ...Expand
@
@nkelamei28704 years agoWewe ni raisi wadunia siyo tanzania tu. 12
@
@zenaycechanzinho67024 years agoKiukwel this time u dd it. Mrdonemm cjawah kuona rais ambae ni mgumu na mtenda kaz sawasawa kma ww yaan una maamuz magumu hekma. Unaipend nch yako/yetu na unatupenda wananch wako. Mm next election nakupa kura yang. Insha allah. ...Expand
@
@eischerschwederm78764 years agoDini biashara tu mbona, yaani mungu atatuchoma siku ya mwisho, love you jpm. 1
@
@issakabelege48004 years agoMungu ibariki tanzanzania mungu tubaliki wana inchi natuepushe na korona inshallah.
@
@jamesngolly22784 years agoMungu akupe maisha marefu sana mheshimiwa rais.
@
@jestinakanji81684 years agoMh. Hizo dawa nazo zipimwe kablaau wenzangu munasemaje. 38
@
@swaumuselemani82434 years agoMungu akupe maisha marefu raisi wetu. Unatujali sana watu wako hususani sisi watu wachini barikiwa sana.
@
@shirukhanshirukhan45644 years agoAsante kwer kabisa iman zaviongoz wetu ziko chini nyumba zaibad wanazifung nakeleka sana yeye ndo wakumuwomba leo tuna funga nyumba zake zaibada iman ila ipo sk mtajua umuhim wa nyumba zaibad.
@
@eaglecrown24794 years agoDadeki huyo ndio mwanaume kuliko mwanaume unakaa kulilia kufungiwa ndani kazi kulambalamba miguu ya watu weupe kila kitu ulaya upuuzi tu acheni kupenda. ...Expand8
@
@kinghagai63934 years agoMagufuli unajua sana kwaajili ya wajingajinga tuu wanaopandikiza maneno machafu kwa watu wako ndio sababu yanakuwa hivo barikiwa sana raisi mteule. 1
@
@arlonmasanja77974 years ago" utalipwa na mabeberu haoumemchana live aise. 2
@
@wakubwatu15354 years agoMh. Rais hongera kwa hili niko nawe kabisa namuasa mh. Mbowe aache kuivuruga chadema kama kachoka atupishe sisi tunaweka mbele uzarendo mbele wala si siasa. ...Expand1
@
@kessylizzy74394 years agoMungu tusaidie ubarikiwe sana mzee magumungu ibariki tanzania. 12
@
@channel10magicfm264 years agoMpeni baba maji amepaliwa. Hongera mheshimiwa rais magufuli. 1
@
@christinenelima26414 years agoNaomba mungu atupe rais kama magufuli. Rais muja mungu. 10
@
@godfreysanga60914 years agoMheshimiwa kwani zanzibar hauji jamaniii. Kila kitu dah! Njo zanzibar. 2
@
@elinurusombi96214 years agoKweli baba asante anaweza ni mungu tu.
@
@robinsoncharles44114 years agoMungu endelea kumfunulia mengi ktk maisha yake na uongozi wake.
@
@leaherasto9294 years agoRais wangu nakupenda sana mungu akulinde kwaajili yetu sisi wanyonge. 8
@
@leith87seif554 years agoNimefurahi sana kama hii dawa ya madagascar imeagizishwa may be inaaweza kusaidia manake kuna nchi nao wameagiza pia. 3
@
@maryamallyjum32294 years agoMm naunga mkono mwenye iman ya kweli aogopi kufa ila tyu kungekuwa na utaratibu maalum kwa masoko.
@
@byaruremabest68164 years agoWw nibaba wawatu mungu akubariki sana ww nafamilia yako.
@
@captendunga13924 years agoWe ongeaaa fungukaa rukarukaaa ila ukae ukijua muda wa kustaafu ukifika tutaandamana mpaka ubaki kwenye hiyo kz hadi mungu apende. Tuseme inshaallah. 3
@
@mwajumanjanga43704 years agoMashaalla allah azidi kukupa pumzi na afya njema rais wetu mzuri.
@
@Oman-ik1be4 years agoAllah hatulinde na hili janga inshaallah mungu atatuepusha.
@
@nasraabdallah8504 years agoAmiin mwenyez mung atatusaidia iwe yenyekutibu inn shaallah. 8
@
@sofiaperpetua78694 years agoHapa kazi tu, kwa kwenda mbele, corona tuache tuko bze, 2
Related videos for TUMEAGIZA DAWA YA CORONA MADAGASCA, TUTATUMA NDEGE WATANZANIA WANUFAIKE:
nice speech kwa kweli. Ndio maana watanzania wakakuchagua uwaongoze. Huwa huyumbagi kwa mambo ya mpito, uganda: lock down wananchi wanakufa kwa njaa, wengine wanafia kwenye mavarangati ya kugombania chakula. Ubakaji kwa mabinti na unyanyasaji wa kingono kufuatia baa la njaa. Ongezeko la wauzaji miili, hasa maeneo ya mipakani na vituo vya magari makubwa ya mizigo(sababu njia za utafutaji zimefungwa)
kenya: njaa kwa raia, vurugu na uvunjifu wa amani, matukio ya wizi pamoja na walipa kodi kupigwa na askari. Vifon. K. ...Expand
daniel na simba
meshach kina abednego na moto
nipeni like. 22
mbariki raisi wetu. 1
asante mheshimiwa rais. 22
kwaajili ya wajingajinga tuu wanaopandikiza maneno machafu kwa watu wako ndio sababu yanakuwa hivo
barikiwa sana raisi mteule. 1