Duration 6:36

Tangauwasa usomajiwamita JIFUNZE KUSOMA MITA YAKO YA MAJI

4 218 watched
0
29
Published 6 Feb 2021

unaweza kulipa bili yako kws kutumia simu yako ya mkononi. SMS. Hatua ya 1 - andika UJUMBE Hatua ya 2 - Neno TANGAUWASA "Acha Nafasi Andika Neno "BILI" acha nafasu ingiza /weka AKAUNTI NAMBA YAKO {TANGAUWASA BILI 301.....} Hatua ya 3 - Tuma kwenda namba 15200 Hatua ya 4 - Utapokea Ujumbe wa ankara yako pamoja na kumbukumbu namba ya malipo. USSD NAMNA YA KULIPA BILI. KWA KUPIGA *152*00# NAMBA 6 - MAJI NAMBA 2 - MAMLAKA ZA MAJI NAMBA 4 - TANGAUWASA. KISHA CHAGUA HUDUMA UTAKAYO.

Category

Show more

Comments - 4