Duration 2:38:6

LIVE UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KIBANDA MAITI EP 2

38 263 watched
0
232
Published 13 Sep 2020

Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika

Category

Show more

Comments - 77
  • @
    @user-kr3vh4nu1w4 years ago Wallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo . ...Expand 10
  • @
    @susunabhan81154 years ago Mambo super
    allah afanye wepesi yarabb.
    5
  • @
    @fadhilamassoudnassor30314 years ago Nani kama maalim kheir inshallah allah akuongozee mkombozi wetu.
    amin.
    2
  • @
    @seifkhamis42984 years ago Inshaallah allah akupe nguvu na afya uweze kufanikisha ktk kuitetea zanzibar. 1
  • @
    @rashidomar27714 years ago Yani inauma anatoka mtu bara kuja kuwafahamisha wa znz, sisi waznz tuko wapi, hem tushituke tuwe na uchungu na nchii yetu. 14
  • @
    @muhsinnainoabdullah15394 years ago Yes yani kura tupu hamna vitoto vya kuja kufanya zogo yani hi ndo zanzibar bana. 2
  • @
    @machinjashabani53314 years ago Wa zanzibar wana takiwa kuiunga mkononi act wazalendo kwa nguvu zote.
  • @
    @PEMBANKWETU74 years ago Nakama mwenyezimungu hetujaalia kupata zanzibar yetu mara hii bc sifikirii tena kupatikana zanzibar. 6
  • @
    @dilipdab37144 years ago Tushafulia. Sie. Watu. Wa. Mahotel. Mtumefata. Pesa. Zetu. Watulipengalau. Juwezeshe. Wapi. Pesa. Hazipo. Bc. Hizo. Kadi. Watachukuwa. Wenyewe. 1
  • @
    @machinjashabani53314 years ago Chaguweni mtu anae tokana na nyinyi wenyewe sio mtu ambae haijuwi zanzibar wala wazanzibar.
  • @
    @hasinahabibu9464 years ago Wapate tu hiyo homa ya dege bado act wanasonga mbele ulipo tupo shusha tanga pandisha tanga safari iendele.
  • @
    @zuhuraali90694 years ago Nikifikiri act hakuna nyimbo wala muziki nilihic hampendi kumbe na nyinyi mnacheza.
  • @
    @milazomilazo64864 years ago Wazanzibar wanafik nyiye na wala hamupewi nch hamuna lolote. 1
  • @
    @user-kr3vh4nu1w4 years ago Wallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo . ...Expand 10
  • @
    @user-kr3vh4nu1w4 years ago Wallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo . ...Expand 10