Duration 23:20

MPAKA HOME: JENIFFER KANUMBA AZUA BALAA USIKU MNENE, MBELE YA MAMA YAKE MZAZI

1 037 688 watched
0
3.1 K
Published 27 Nov 2017

SUBSCRIBE NOW: /user/uwazi1 ‘MTOTO mtukutu’ aliyeibuliwa na muigizaji ‘Five Star’ katika tasnia ya filamu za Kibongo, marehemu Steven Kanumba, Hannifer Daudi ‘Jennifer wa Kanumba’ amezua mtiti wa aina yake. Varangati hilo ‘bei mbaya’ lilikuja baada ya kipindi kinachozidi kushika kasi ya ajabu cha Mpaka Home, kupitia channel namba moja ya mtandaoni Afrika Mashariki, Global TV kuvamia nyumbani kwao jijini Dar usiku mnene. Unajua Jennifer aliifanyia nini timu ya Mpaka Home? Je, ule utundu wake ni wa kwenye filamu tu au ndivyo alivyo katika maisha halisi? Twen’zetu ukajionee maajabu ya muigizaji huyu ambaye kwa sasa amekua kwa fikra na kimo. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ... FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ...

Category

Show more

Comments - 698