Duration 6:29

MMASAI ALIYEISHI ULAYA MIAKA 20 ARUDI BONGO / WAMASAI WAANGUKA / VIDEO VIXEN WA LAVALAVA

157 571 watched
0
704
Published 25 Aug 2019

Category

Show more

Comments - 266
  • @
    @lirastanley3903 years ago Umeongea vizur sanawajuai. Hongera na mungu akuzidishie. 3
  • @
    @sosanhi41094 years ago Hongera sana dada kama bado unaeza ongea kiswahili vizuri ivo. 2
  • @
    @user-zt6eb7re4u10 months ago Kweli usisarau masai du ongera sana dada kwa kipakaji. 1
  • @
    @olivernanyaro11915 years ago Nimempenda sana sio ajabu kusahau kiswahili. 2
  • @
    @mussalameck46675 years ago Lugha unayotumia muda mrefu na jamii fulani hua inabadilisha matamshi ya lugha mama na sio rahisi kwa mhusika kugundua mpaka aambiwe. Nimethibitisha hili kwa kuzurura kidogo, bado yupo vizuri sana. 2
  • @
    @celinelawrence20155 years ago Jaman msimseme mana ata mimi nimeish nigeria miaka 7 nikajikuta naongea lafudhi ya knaijeria na nimeishi kenya miaka 11 nimejituta naongea lafudhi ya wakenya . ...Expand 2
  • @
    @aishaawadhimalokimaloki99535 years ago Hongera dada uko vizur sema binadamu wengine kusema mtu vibaya ni hulka yao kwahio bila majungu hawawez ishi kikubwa jali kazi yako. 4
  • @
    @amosikabalata63815 years ago Sijui sisi wamasai tuna nn asee! Angekuwa kabila nyingine ungesikia mtanzania aliyeishi ulaya miaka 20! Naipenda sana kabila langu. 31
  • @
    @nezryallyan63445 years ago Mie najua hyu alikua ni kimasai kwnda mbele kiswhli sio sna+ na hyo miaka 20. 9
  • @
    @muadhinalbashary67285 years ago Mbn anajitahid kuongea vzr unafikil anamiaka mingap ukitoa hiy ishilin aliyoish huk nje na bad anaongea vzr na anaelewek. 29
  • @
    @modaxmillano93525 years ago Beautiful, kiufupi unajua na wataona kibongo bongo apa. 2
  • @
    @binsultan69815 years ago Yaan sjui mmasai anaomekanaj. Mm naamin angkua kabla lngnetu. Achn ubaguz wa rejareja. 16
  • @
    @barakalukumay5 years ago Huyu ukiangalia sura vizuri alienda akiwa mdogo sana ndio maana hata hicho kiswahili alikua hakijui vyema hivyo wala usimshangae kalikua kadogo sana kwa . ...Expand 13
  • @
    @andrewjosephhezron233 years ago Anajitahidi sana kuongea kiswahili nikiguess pengine aliondoka akiwa na miaka 6 arafu mmasai 20 ulaya it' s not easy hongera.
  • @
    @johnkieru63475 years ago Maajabu miaka ishirini na bado anaeza zungumza kiswahili. 4
  • @
    @benjaminmollel88335 years ago Eh mungu dah cc haina mana cyo watanzania ama. 3
  • @
    @awadhirajabu77545 years ago Mbona watanzania baazi vipi uyu alikaa ulaya miaka 20 inamana alikwenda wakati kiswahili akijui sana ivi amuwajui wamasai kiswahili awakijui sana wengi wao acheni wivu wa ugonjwa wa akili. 38
  • @
    @waukweelinikkon65555 years ago Hapo hata miaka 30 hajafika, na amekaa ulaya miaka 20, hivyo alikuwa mdogo sana, hawezi kukumbuka kiswahili vizuri. 4
  • @
    @gezofeel4 years ago Yechu yuchu, nimempenda huyo manzi chalii wangu!
  • @
    @flavour_full7415 years ago Nimeishi ulaya miaka ishirini pia ayaayaai. I just counted and was shook. 1
  • @
    @zahramohammed8465 years ago Mi nakataa watoto wangu wamezaliwa ulaya wanakiswahili kizuri kuliko yeye. 1
  • @
    @msafirlaizer23685 years ago My advice kwa huyu dada. Ajipendekeze kwa rosa ree. 14
  • @
    @mathiashussein5525 years ago Msitoe mifano ya ulaya hapahapa bongo unajua kunawatu wanatoka vijijini wanakuja mjini na kule alikotoka alikuwa anaongea lugha vizuri lakin kuja mjini . ...Expand 8
  • @
    @alexchungu95055 years ago First language yake ( kiswahili) imekuwa affected by second language, thus why accent yake ni tofauti in terms of her pronouncition.
    ila sio anajifanya . ...Expand 22
  • @
    @stumay-wx9rp5 years ago Simcheki huy dada ukiish na watu siy lugh yako utakuwa unashindwa. Tuko wote wasikuchek. 5
  • @
    @jacquelinosmond2215 years ago Mbona wamasai wengi kiswahili ni shida? Huyu anajitaidi sana mbona. Mimi pia nilimsikiliza hamorapa kakaa kenya miezi miwili sjui mitatu keshasahauhamorapa. 1
  • @
    @deezotv89665 years ago Imagine ameishi 20 years ulaya, na bado tunapang chumba nae naitaji bahti kma hiyo mm kwenda huko. 6
  • @
    @abymedia98425 years ago Kiswahili anajua tena sana tu. Sema accent ndio shida coz ya lugha aliokua anatumia. Ni sawa tu na mtu kuongea lugha ya kijijin kwao kwa lafudhi ya kibongo. 5
  • @
    @ayoubwakanai68635 years ago Mtangazaji na wengineo mjue bongo ni tanzania. Neno hili lilibuniwa na mabaharia wa zamani na walipokuwa wakilitamka ni katika hali ya kusikitisha sana. 1
  • @
    @allymngwaya98555 years ago Watu mjiongeze, ameishi ulaya miaka 20 ukiangalia umri wake ina maana alienda akiwa mdogo sana kwa hiyo kutokuwa na fluency katika kiswahili siyo kosa lake. 2
  • @
    @aketchjob61565 years ago Give her a break. Kiswahili is not a basic need. 18
  • @
    @Kifyasi5 years ago Acheni mambo yaajabu, kwasababu mm nimeondoka kwetu mwakajana lakini nimeshasahau lugha yetu ya kihehe, nawaza nikiludi sijui ntakua mgeni wanani. 9
  • @
    @barakastephano61445 years ago Huyu demu anaongea saut kama gabo zigamba. 1
  • @
    @muadhinalbashary67285 years ago Tuachen majungu jmn kn wengin miak miwil tu anajifany hajui kiswahil. 1
  • @
    @HABIBULLAH-nd9ft5 years ago Mi nakwambien hakuna kabila lililo baki tz ambalo bado linatunza mila kama wamasai hivyo mmasai vigum sana kusahau mila na lugha yake husika hata ingekuwa . ...Expand 1
  • @
    @maryamabdalahmakyalue405 years ago Tena sasa ngoja niwachane, huyo dada angekua na mashauzi, angeongea kingerez kingi kiswahili ingekua anadokoa, sas njoo kwa wadad wa bongo movie. 10
  • @
    @mercynayian30975 years ago Lazima mngementionnyinyi, huyu mrembo ako tu sawa. 1
  • @
    @bonifastarimo96365 years ago Mi nashangaa watu wanamind huyo dada kusahau kiswahili wakati harmorapa kaenda kenya si tatu kiswahili tupa kule. 77
  • @
    @lucasmhagama81663 years ago Kwa nini usuandike mtanzania aliyeishi ulaya miaka 20 kwani kwa mmasai imekuwa ishu.
  • @
    @ackshuba86795 years ago Yaan ukimsikiliza huyu Masai utakugunduwa kuwa hapo alipo hajui yuko dar au arusha. Yeye anajuwa tu yuko Tanzania
    Kama huamin angalia kuanzia dakika ya hadi 6.1 .. ...Expand
    7
  • @
    @RachelLeonard5 years ago I love this girl course she spoken swahili more than english, as athers who speak swahili when they beck in theirs village they do speak swahili more than mother language. 4
  • @
    @sarahhaule39645 years ago Matako nyie inamana mmsai wana nchi yao au niwatanzania wenzetu, kwann msingeandika mmasai mtanzania. 5
  • @
    @natalyajacson83285 years ago Nikwamba amekwend ulaya tokea 19 so miaka kidogo musimlaumu banaa. 6
  • @
    @shifamakame46225 years ago Nipo omani tn siishi na waswahili naishi na waarabu safi ela kiswahili km chote naaza vp kusahau kw mfano. 5
  • @
    @mosquitoonlinetv27405 years ago Lulu huyo kamasai cha watu anae bisha abishane xaxa na ukwel
    kiufupi ni mmasai na anaishi ulaya
    tena n juz kat 2 hapo amerudi tena.
    3
  • @
    @lissagloo3505 years ago Naona watu wanasema kiswahili chake jaman amekaa ulay good 20 years means alikuwa anaongea kingereza masaa 24 lazima asahau kiswahili. 3
  • @
    @kadijakk63845 years ago Jamani lakni mbona huyu dd anajitahidi sana kuongea kiswahili kwani si akiwa kule ulaya anaongea kingereza nakimasai mbona wabongo wakiurizwa kdogo no coment lakn huyu cjasikia no ciment. 6
  • @
    @farajalaizer46695 years ago Mmasai hasahau asili yake neva ever, uyu uzungu mwingi. 1
  • @
    @primitiveguy20265 years ago Ukiishi ulaya kwa nchi amuongei kiingereza kwa miaka 20, lazma kiswahili kiwe na lafidha ya iyo kijerumani ivi. 6
  • @
    @bathshebamchuza26485 years ago Inategemea kua alkua anazungukwa na akna nan huko ulaya, km we uko ulaya unazungukwa na wabongo wenzako unadhan lafudh yako itakua ya kzungu km huyo, 7
  • @
    @footballkingz52235 years ago Kwa kweli sijisifu, bali nipo ulaya kwa takriban miaka 27 lakini kiswahili changu ni kilekile cha nyumbani kwa kifupi nikikutana na wewe huwezi kujua ya . ...Expand 18
  • @
    @maliethnyoni28475 years ago Haya mahojiano yamenifanya mpk niludie mara tatu maana ata sijaerewa kinaongereka nn jmn. 8
  • @
    @billionaireemma4 years ago Diamond plantiumz ampiga lavalava kisa zari na watoto wake HUONDO
  • @
    @shahadaushindi77453 years ago Acheni wivu nyie wabongo mi niliishi mahali fulani tu kiswahili accent ikabadilika. Ukienda kwa mwenye chongo vunja lako jicho ili muendane. Kwa hiyo wanao . ...Expand
  • @
    @fatmakhanii16765 years ago Acheni ushamba wamasai hata wasipo enda nje kiswahili chao nishida hapo kajitahidi sana wala hajaongea kizungu. 1
  • @
    @charlesmassawe63215 years ago Hata ukiishi ulaya miaka 30 ni vigumu kusahau lugha mama. 17
  • @
    @lillianeriksson81835 years ago Mie nimekaa ulaya miaka 19 sitaweza kujifanya sijui kiswahili. 2
  • @
    @thomasmaphior795 years ago We masai jielewe nini ulaya sema nilikua italian ivi mimi nikisema african utafahamu wapi funguka kama italian. 3
  • @
    @jarsaduba26265 years ago Kuishi ulaya miaka 20 ni kwamba kiswahili unasahau acha kutuchocha we dada. 2