Duration 2:1

Mh. Rais Samia: Hii Itasomeka Kuwa Unaendeleza Uhuni Wa Mwendazake na Huheshimu KATIBA na DEMOCRACY

1 745 watched
0
4
Published 17 Jun 2021

Nilidhani Rais Mama Samia Suluhu anajua Umuhimu wa Symbolism. Huyu Nusrat Hanje Yuko Bungeni Kihuni, Kinyume na Katiba Kwa Ushenzi Ulioletwa na Mwendazake Magufuli Ili Kuuhadaa Ulimwengu Kuwa Tanzania Kuna Demokrasia Bado! Kwa Kunyapua Malaya Wa Kisiasa Kutoka Vyama Pinzani na Kuwapa Ubunge wa Maruhani. Kitendo Cha Mama Samia Suluhu Kukaa Pamoja na Mbunge Huyu Haramu na Bado Wanaendelea Judai ati Ni Wabunge wa Chadema, NI KITENDO CHA KUASHIRIA YEYE NAYE NI MHUNI NA MSHENZI Kisiasa, Nasema Kinaashiria Sijasema Yeye Ni MHUNI, Nataka Ajue Kwa wenye Kuelewa Ndiyo Alivyoonekana Sasa Ni Jukumu Lake Kutusahihisha Kama Tumemwelewa Vibaya. Atusahihihishe Kwa Matendo.

Category

Show more

Comments - 9