Duration 2:3

MAPYA kuhusu KESI ya IDRIS SULTAN Haya Hapa, MAHAKAMA Yaipiga KALENDA, SABABU Zatajwa

5 197 watched
0
51
Published 11 Aug 2020

MAPYA Kuhusu KESI ya IDRIS SULTAN Haya Hapa, MAHAKAMA Yaipiga KALENDA, SABABU Zatajwa... Kesi inayomkabili Mchekeshaji, Idris Sultan na mwenzake Innocent Maiga, imeshindwa kuendelea na ushahidi kutokana na wakili anayemtete, Elia Lioba kutokuwepo mahakamani hapo kutokana na kwamba amepata msiba. Baada ya taarifa hiyo hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Yusto Ruboroga ameahirisha kesi hiyo hadi Agosti 24 itakapoendelea na ushahidi. Idrisi na mwenzake wanakabiliwa na mashtaka mawili likiwemo la kushindwa kufanya usajili wa laini ya simu ambayo ilikuwa inamilikiwa na mtu mwingine, kinyume cha sheria. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 2