Duration 4:24

MADAM RUTH:Kutoka Uimbaji Wa Nyimbo za INJILI HADI UCHUNGAJI

2 131 watched
0
6
Published 9 Nov 2019

MADAM RUTH:Kutoka Uimbaji Wa Nyimbo za INJILI HADI UCHUNGAJI Muimbaji wa Nyimbo za injili Tanzania Madam Ruth ameeleza sababu za yeye kutakuwa Mchungaji Huku akieleza kuwa ni Mungu ndiye amemuita. Akizungumza na Waandishi wa habari Ruth amesema Hana mpango wakuacha kuimba nyimbo za Injili, Huku akisema yeye kuwa mchungaji ni wito Kama watu wengine wa Mungu wengine waliyo itwa. Ruth ambaye anatamba na kibao chake Cha Jana Imepita ambayo imempatia umaarufu mkubwa wandani na Nje ya Nchi. YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?li

Category

Show more

Comments - 3