Duration 2:29

ALIECHORA PICHA YA RAIS MAMA SAMIA AKIWA NA USHUNGI WENYE RANGI ZA BENDERA YA TANZANIA AZUNGUMZA

148 091 watched
0
800
Published 27 Apr 2021

Ayo tv inakukutanisha na PATRICK GERRALD msanii wa sanaa za uchoraji wa kutumia mikono Jijini Mbeya. Kijana aliyejiibulia umaarufu kutokana na ubunifu alioutumia katika sanaa ya kuchora mchoro wa picha ya mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu akiwa amevalia shungi lenye kulandana bendera ya Tanzania. Kutokana mchoro huo msanii huyo ameweza kutumia ubunifu wake, ulioelezea uimara wa kiongozi wetu Rais kuyabeba majukumu ya taifa kwa ufasaha. Kama ilivyoelezewa na msanii Patrick alipokuwa akielezea picha hiyo aliyoiwekea ubunifu wa ushungi wenye mfanano na bendera ya taifa nini alimaanisha mama kuvaa shungi yenye bendera ya Taifa ma sio ile nyekundu aliyokua mevaa katika picha harisi

Category

Show more

Comments - 175